Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Natamani wakitoka ndani, wamfungulie mashtaka. Haiwezekani kutesana kwa tukio lolote kisa tu ana mamlaka makubwa!
Sababu sahihi ni ipi boss! Kama ni kweli itakuwa ni aibu kwa mkuu wa mkoa.HABARI WAKUU. HII HABARI HUU NI UZUSHI. MIMI NIKO MOROGORO NA NILIKUA KATIKA HICHO KIKAO. N KWELI KUNA WATU WALIWEKWA NDANI LAKINI SI WALIMU NA WALA SI ISHU ZA WANAFUNZI KUTOFANYA VIZURI MTIHANI. HAPA ALIYETOA TAARIFA ANATAKIWA AJISAHIHISHE KABISAAA.
Kwa nn ashinde kwa lazima hata km sheria haiko upande wake?mamlaka ya RC ni undefined... kama Magavana....
Hata ukimshitaki anashinda...
Angetumua sheria za kiutumishi hata kuwashusha vyeo inge make sense...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn ashinde kwa lazima hata km sheria haiko upande wake?
Kuna sababu nyingi za watoto kutofanya vizuri katika mitihani yao.Kuna kile chama cha serikali wenyewe wanakiita cha Walimu ngoja tuwasikie, unaweza kuta hata kutoa neno wasitoe
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio sera ya ccm hiyo , au wewe umehama huko ?
Mbinu haramu utegemee Nini katika maisha ya baadae kwa watanzania?.Itabidi waalimu wajitahidi kutumia mbinu zote halali na haramu shule zao zifaulishe!
Namkumbuka Jackson Makweta akiwa waziri wa elimu,alikuwa kweli Ni waziri wengine walopita mbele yake sioni wa kuvaa viatu vyake.Kama Mtumishi hawezi kazi si ashushwe cheo?!!? Kumsweka rumande kunasaidia nini, akitumikia adhabu mnamrudisha kwenye nafasi yake??? Kuna shule naskia zimepewa elfu 45 zijiendeshe. Elimu bure balaa. Hizo shule zinazofaulisha kaangalie gharama yake. Tusilete siasa. Mtu hawezi kazi apigwe chini.