RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

Watu wa Geita wanapanda ndege tu hadi Chato Int. Airport na kurudi makwao kwa private cars naamini.
Hiyo stendi imejengwa mwaka juzi tuu hapa huyu naye anataka kuanza kuijenga upya??? Aiseee fedha za walalahoi zinatumika kifala Sana,

huyu Maza atulize mkebe nonsense!
 
Aje Igunga alipokuwa tajiri rostam atazimia,stendi Kama shamba la mpunga,vumbi Kama lote,mvua ikinyesha shida,afu rostam alipostaafu eti wazee wa Igunga wakamlilia,Kama si kulogwa ni Nini huku?🀣🀣
 
Hivi chato unapajua au, kule ni matakoni mwa nchi
 
Vyote ulivyotaja vinatengewa pesa siku zote.
 
Maviete ya wakurugenzi wananunua, viunua migongo vya wabunge vipo, ila madawati, madarasa, stendi, wanataka wananchi wajenge...nonsense!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Aje Igunga alipokuwa tajiri rostam atazimia,stendi Kama shamba la mpunga,vumbi Kama lote,mvua ikinyesha shida,afu rostam alipostaafu eti wazee wa Igunga wakamlilia,Kama si kulogwa ni Nini huku?🀣🀣
Au Stand ya jimbo la yule Vuvuzela Hamisi Kigwangalla
 
Huyu itakuwa kashuka toka Mars au Pluto... ina maana hajaziona stand zingine huko njiani alikopita wakati anaelekea kwenye uteuzi wake?
 
Acha kujimwambafai kaanike michembe, matobolwa na likubi lya siili hapo uwanjani
 
Huyu itakuwa kashuka toka Mars au Pluto... ina maana hajaziona stand zingine huko njiani alikopita wakati anaelekea kwenye uteuzi wake?
Hawapiti stand hawa. Huyu alikuwa mkuu wa wilaya ya Same kabla hajateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Geita. Stand ya wilaya ya Same ina lami. Stand ya makao makuu ya mkoa kuwa ya vumbi ni aibu. Sijafika mikoa yote Tanzania, lakini stand nyingi makao makuu ya mikoa ni lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…