RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

RC mpya wa Geita ashangaa stendi kuu ya Mkoa kuwa ya matope wakati kuna utajiri wa dhahabu

Nilisikia mkoa huu huwa unnapata zaidi ya bilion 2 kutoka migodi ya dhahabu kila mwaka? Jama ni kweli, wanashindwa kujenga hata stendi ya milioni 500?!!!!!!
 
Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.

RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye matope.

Rose aliyasema hayo mbele ya wananchi na watendaji alipowasili mkoani Geita tayari kukabidhiwa ofisi.

Chanzo: ITV habari!
Anashangaa kwani yeye ni mgeni nchi hii???
Hakuwepo Tanzania kwa muda mrefu????
 
Back
Top Bottom