Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana Mkuu!! Watu waliokata tamaa hufurahia sifa ya kuitwa wanyonge!!!
Anashangaa kwani yeye ni mgeni nchi hii???Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope.
RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa ilivyo kwahiyo ni lazima utajiri wa dhahabu utumike kujenga stendi kuu ya kisasa na siyo hiyo ya kwenye matope.
Rose aliyasema hayo mbele ya wananchi na watendaji alipowasili mkoani Geita tayari kukabidhiwa ofisi.
Chanzo: ITV habari!
Anashangaa kwani yeye ni mgeni nchi hii???
Hakuwepo Tanzania kwa muda mrefu????