Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka
Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu/Wasukuma
My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---
MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii 5 muhimu zinazochangamsha ukuaji wa sekta binafsi, uchumi wa nchi na biashara kiujumla, huku akizitaja jamii hizo kuwa ni; Watu kutoka Kilimanjaro, Wakinga, Waha, Wapemba na Wanyantuzu.
RC Mtaka ameyazungumza hayo katika mahojiano maalum na Charles William kuhusu hali ya uwekezaji, biashara na kilimo katika mkoa wa Njombe.
Hazungumzii ukabila bali mchango wa makabila ktk mchango wa maendeleo ya kiuchumi ili iwe chachu kwa wengine kujitafakari.
Kaongea ukweli mtupu hata asingeongea ndo ukweli wenyewe
Mjinga kabisa huyu bwana, anazungumza habari za ukabira karne ya 21,!? Huyu bwana anapenda sifa sana , enzi hizo akiwa rc simiyu alitutesa sana walimu, alijaribu kuupeleka ujinga wake dodoma wakampinga.