maneka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 825
- 1,182
Ukienda Makete kwa wakinga utatoa chozi, ila ndiyo hivyo!Kama Waha ndio wale wenyeji wa Kigoma, akumbushwe kuwa Kigoma ni mkoa wa Pili kama sio wa tatu kwa umasikini Tanzania yote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda Makete kwa wakinga utatoa chozi, ila ndiyo hivyo!Kama Waha ndio wale wenyeji wa Kigoma, akumbushwe kuwa Kigoma ni mkoa wa Pili kama sio wa tatu kwa umasikini Tanzania yote!
Kwan kaongelea biashara...halafu hajasema wachaga hawamiliki? Why are you insecure you chagga...kwan haiwezekani wachaga na wahaya kumiliki makampuni wote...Hayo makampuni Wachaga wanamiliki kwa wingi sana
Katika orodha ya Soko la hisa dar,katika mabilionea kumi wazungu na wahindi ni 6 weusi wanne,wote Wachaga
Wahaya kwa biashara Bado sana
Hao ni wachuuzi,Wachaga biashara za kuuza vitenge washavuka wapo level nyingineWaha wanapenda sana kujiajiri, wameiteka Kariakoo, maduka mengi ya vitenge, vifaa ya electonics n.k ni ya Waha. Naona kuna ukweli kiasi flani.
Mjinga huyoAcha chuki wewe !!! Umenuna!! Wanatajwa waafrika wewe unaleta uhindi!? Akili matope!? Anyway namshangaa huyu RC
Punguza makasirikokwasababu yeye mnyantuzu? Hana matokeo ya utafiti, acha ukabila. Hao uliowataja bado ni maskini sana nenda vijijini mwao. Kwanza km amezungumzia huo ujinga hapaswi kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi.
Kama maduka ya jumla ni uchuuzi uko sahihi.Hao ni wachuuzi,Wachaga biashara za kuuza vitenge washavuka wapo level nyingine
Ila hongera kwao wanaanza vizuri
Lileta Uzi ni likilaza la kutupwaHivi kuna kabila la wanyatunzu??? Basi kama ni hivyo hata warombo, wamarangu nao ni kabila.
Tatizo mijitu mingi siku hizi uwezo wa kutafakari mambo umekuwa wa hali ya chini sana pamoja na wengi kwenda shule. Ndio maana Ney wa mitego anawaponda wasomi wa siku hzi na yupo sahihi kabisa. Wanaom-attack RC Mtaka kwamba anachochea ukabila ni wavivu wa kufikiri na hawajui hata maana ya ukabila. Hawa ndio mwenzao akifanikiwa bsai wao wanakasirika. Wanadhani kuongelea makabila fulani na kuacha mengine kwenye jambo fulani based on fact basi kwao tayari huo ni ukabila .Hazungumzii ukabila bali mchango wa makabila ktk mchango wa maendeleo ya kiuchumi ili iwe chachu kwa wengine kujitafakari.
Kaongea ukweli mtupu hata asingeongea ndo ukweli wenyewe