Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hakuna kabila la wanyatunzu. Kabila ni wasukuma tuHivi kuna kabila la wanyatunzu??? Basi kama ni hivyo hata warombo, wamarangu nao ni kabila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kabila la wanyatunzu. Kabila ni wasukuma tuHivi kuna kabila la wanyatunzu??? Basi kama ni hivyo hata warombo, wamarangu nao ni kabila.
Ndio ulivyokaririshwa? Tafuta kina Mwajuma wa Tanga mka socialise sie tunatafuta pesa hatuna mda wa kipuuziTajiri wa kuvaa kandambili au kulala chumba cha store naye siyo tajiri huyo. Tajiri anafanya malipo usiku tu sasa huo utajiri utumwa?
acknowledgement ya kikabila imeanza lini? Na unadhani ukabila unaanzaje, kama sio kwa njia hizo?! pia unaweza kunipa faida ya hiyo acknowledgement?Acknowledgement is not the tribalism be positive.
Punguza chukiacknowledgement ya kikabila imeanza lini? Na unadhani ukabila unaanzaje, kama sio kwa njia hizo?! pia unaweza kunipa faida ya hiyo acknowledgement?
Endelea kuwa mlokole utakuwa unauona Kwa wenzio ,Mila na desturi ziheshimiweMbona mimi ni mkinga na utajiri sina?
hapo ndo utajua kabila alisaidia maendeleo ya mtu binafsi.Sio lazima wote muwe na kitu
Kabisa umesema vyema.Ulitaka wafanye harambee za pesa zao binafsi ndio wakajengee miundombinu ya uchumi ambayo Serikali imeamua Kwa Makusudi kutoipeleka Kigoma? Ndio maana wamekimbia wakaenda kuchukua pesa kwingine na wanazo.
Maisha ni kuchagua tu akitaka kusocialize uamuzi ni wake.Ndio ulivyokaririshwa? Tafuta kina Mwajuma wa Tanga mka socialise sie tunatafuta pesa hatuna mda wa kipuuzi
Hayo makampuni Wachaga wanamiliki kwa wingi sanaWahaya hawamiliki maduka mtaani ila tafuta wamiliki wa makampuni makubwa makubwa hotels na logistics company ndo mtaelewa
kwasababu yeye mnyantuzu? Hana matokeo ya utafiti, acha ukabila. Hao uliowataja bado ni maskini sana nenda vijijini mwao. Kwanza km amezungumzia huo ujinga hapaswi kuendelea kuwepo kwenye hiyo nafasi.Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka
Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu/Wasukuma
My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---
MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii 5 muhimu zinazochangamsha ukuaji wa sekta binafsi, uchumi wa nchi na biashara kiujumla, huku akizitaja jamii hizo kuwa ni; Watu kutoka Kilimanjaro, Wakinga, Waha, Wapemba na Wanyantuzu.
RC Mtaka ameyazungumza hayo katika mahojiano maalum na Charles William kuhusu hali ya uwekezaji, biashara na kilimo katika mkoa wa Njombe.
Wasafi Media
View attachment 2701854
Acha chuki wewe !!! Umenuna!! Wanatajwa waafrika wewe unaleta uhindi!? Akili matope!? Anyway namshangaa huyu RCNa Wahindi wameigawana hii nchi, wanakula kwa kutulia tuli.
Dar es Salaam = Wote.
Dodoma, Kanda ya Kati = Gulamali.
Singida = Mo Dewji.
Morogoro = Abood.
Tanga = Binslum.
Shinyanga = Jambo Group.
Wengine enedeleeni kuuza bar, kuchoma kitimoto, na kuuza maduka mkiamini mnakuza uchumi.
Pumbavu zenu