Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Tembea acha kudanganywa,wapemba na wachaga wameshika biashara za Dubai,kuleta Afrika.Labda wanakuza kwa kua mashoga ni wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembea acha kudanganywa,wapemba na wachaga wameshika biashara za Dubai,kuleta Afrika.Labda wanakuza kwa kua mashoga ni wengi
Alilenga kufikisha ujumbe gani?
Ww ndio unadanganywa nitajie makampuni ya wapemba na wachanga au viwanda vyao tatizo nyie ni washamba mkiwa na kiduka tu basi kelele nyingi mbona wenye viwanda na makampuni makubwa hawapigi kelele!!Tembea acha kudanfanywa,wapemba na wachaga wameshika biashara za Dubai,kuleta Afrika.
Safiri,acha kujikunyata.Nenda nje ya nchi ukaone wapemba na wachaga walivyochangamka.Ww ndio unadanganywa nitajie makampuni ya wapemba na wachanga au viwanda vyao tatizo nyie ni washamba mkiwa na kiduka tu basi kelele nyingi mbona wenye viwanda na makampuni makubwa hawapigi kelele!!
Wachoji wale,sema na wanaamini sana uchawi.Wanyantuzu ni wakatili kwenye mambo ya hela yaani kuna kisa jamaa walikuwa kwenye machimbo basi jamaa kitu kikatema aisee wanyantuzu walifunika juu wakamziba jamaa hewa akafa
Na Wahindi wameigawana hii nchi, wanakula kwa kutulia tuli.Mm sipo ktk kabila lolote la tz wala africa ila ukweli ni kua uchumi wa tz upo mikononi mwa asian nyie wachaga sjui wakinga ndio punda kwenye kampuni za hao asian labda mnakuza uchumi kwa kua ndio watumwa
Bro ishu sasa hiv ni bandari achana na propaganda za maccm. Huwez kutaja makabila 5 yenye kukuza uchumi ukasahau mhindi na mwarabu Mzee hizo ni sanaa za kututoa kwenye Mambo ya msingi.Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka
Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu.
My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---
MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii 5 muhimu zinazochangamsha ukuaji wa sekta binafsi, uchumi wa nchi na biashara kiujumla, huku akizitaja jamii hizo kuwa ni; Watu kutoka Kilimanjaro, Wakinga, Waha, Wapemba na Wanyantuzu.
RC Mtaka ameyazungumza hayo katika mahojiano maalum na Charles William kuhusu hali ya uwekezaji, biashara na kilimo katika mkoa wa Njombe.
Wasafi Media
Kama ulichoandika kipo sawa..kweli wewe na huyo mtaka sijui mataka mtakuwa kabila hilo la wajinga..japo sijawahi kulisikia ndo kwanza leo.
Na hata katika Ukuaji wa Uchawi, Dhuluma na Ufisadi Makabila tajwa yanafanya vyema.Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka
Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu.
My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---
MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii 5 muhimu zinazochangamsha ukuaji wa sekta binafsi, uchumi wa nchi na biashara kiujumla, huku akizitaja jamii hizo kuwa ni; Watu kutoka Kilimanjaro, Wakinga, Waha, Wapemba na Wanyantuzu.
RC Mtaka ameyazungumza hayo katika mahojiano maalum na Charles William kuhusu hali ya uwekezaji, biashara na kilimo katika mkoa wa Njombe.
Wasafi Media
Halafu watu waksema Wazanzibar wanauza bandari, yeye na Chama Chake wanakuwa wa kwanza kulalamika kuwa watu wanaleta ubaguzi ili kutugawa.Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka