luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Unasumbuliwa na wivu chuki na umaskiniInamaana ameanza ukabila huyu. Basi kama kweli yeye kasema Hilo basi hafai kwenye nafasi aliyonayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasumbuliwa na wivu chuki na umaskiniInamaana ameanza ukabila huyu. Basi kama kweli yeye kasema Hilo basi hafai kwenye nafasi aliyonayo.
Hasa walipoona namba Moja WachagaAmeongea ukweli ambao inauma na vile hauko kwenye list lazima uumie [emoji16][emoji16]
Piga spana hawa wajinga wenye chukiWw ndio unadanganywa nitajie makampuni ya wapemba na wachanga au viwanda vyao tatizo nyie ni washamba mkiwa na kiduka tu basi kelele nyingi mbona wenye viwanda na makampuni makubwa hawapigi kelele!!
Wazaramo wapo nafasi ya ngapi?Makabila ya Kiuchumi au ya kitajiri Kwa Mujibu wa Mtaka
Wachaga
Wakinga
Wapemba
Waha
Wanyantuzu.
My Take
Kama kabila lako halipo kwenye List jihesabu wewe ni Maskini tu.
---
MAKABILA 5 MUHIMU ZAIDI UKUAJI SEKTA BINAFSI TANZANIA
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Antony Mtaka amesesma kuna jamii 5 muhimu zinazochangamsha ukuaji wa sekta binafsi, uchumi wa nchi na biashara kiujumla, huku akizitaja jamii hizo kuwa ni; Watu kutoka Kilimanjaro, Wakinga, Waha, Wapemba na Wanyantuzu.
RC Mtaka ameyazungumza hayo katika mahojiano maalum na Charles William kuhusu hali ya uwekezaji, biashara na kilimo katika mkoa wa Njombe.
Wasafi Media
Hapo ametaja kwa Sisi wazawa SIO kwa wageniBro ishu sasa hiv ni bandari achana na propaganda za maccm. Huwez kutaja makabila 5 yenye kukuza uchumi ukasahau mhindi na mwarabu Mzee hizo ni sanaa za kututoa kwenye Mambo ya msingi.
Umaskini unakusumbuaNa hata katika Ukuaji wa Uchawi, Dhuluma na Ufisadi Makabila tajwa yanafanya vyema.
HahahaMaskini wa Mali na roho naona mnatapatapa.Kiufupi ukitaka maendeleo oa na kuolewa kwenye hayo makabila
Vitu vingine ni bora ukae kimya km hujui ukweli wake uchumi wa nchi nyingi za kiafrica upo mikonono mwa mweupe nyie weusi bakini kushabikia ukabila tu na baada ya miaka 20 mbele tutaanza kuwakamata na kuwauza kwenye mashamba ya mamba km chakulaJinga wewe
Umamjua mmiliki WA précision air ?
IPp je?
Ngurdoto hotels je
Kibo palace je
Shareholder namba Moja individual ktk crdb je?
Eckenford tanga university je
Umaskini utakuua
Sijaona hata mantiki yake kuongelea hayo, au labda mazungumzo yalianzia mbali mpaka kufikia hapo? isijekuwa tunadandia conclusions tu bila kuelewa.Kiongozi anayezungumza ukabila hafai kuwa kiongozi...
Hapo ametaja kwa Sisi wazawa SIO kwa wageni
Wivu tuuKwani hapo Mtaka kakosea nini? mbona ni ukweli ambao uko wazi
Wivu tuu
Ila mnatukosea sana Wanyantuzu ndo wasukuma haswa! Hapo wasukuma wa geita na maeneo mengine ni mchanganyiko sana! Ntuzu ndo sukuma Org! Wanyantuzu kwa wasukuma ni kama Warombo kwa wachaga!Unaona kabisa mtaani wanasema nenda kwa mangi au kwa muha kachukue unga, usishindane na wakinga watu wanasema, ukienda migodi ya Tanzania, msumbiji wanyantuzu ndio wanaijua dhahabu, ukienda vingunguti wapo wanashusha malori ya mifugo, wapemba hiyo kariakoo, mahotel wakinga wanajenga kila leo, muha anaanza kuuza matunda miaka kadhaa mbele anaduka la jumla kariakoo na china anaenda mwenyewe, mchaga ndio huyo njia za uchumi kashika toka zamani, viwanda Mtaka hajakosea
Ukabila upi alioutaja?Ukabila ni sumu kwa taifaa, tupinge kiongozi anayeongelea mambo ya makabila na ukabila
kila mtu ni tajiri hapa dunianii hahaaa
Uzuri ni kwamba we kama ni mpambanaji ni mpambanaji tu, kabila sio issue.Mkuu vipi haupo kwenye list ya wapambanaji waliotajwa na Mtaka