Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mtanda ameyasema hayo wakati akisikiliza kero za wananchi wa kata ya Sangabuye pamoja na kata Jirani zilizopo katika wilaya ya Ilemela ndipo ikaibuka migogoro mingi ya ardhi licha ya kuwepo kwa watumishi wengi katika Idara hiyo ndipo akaagiza watumishi wenye mikataba ya muda kusitishiwa mikataba hiyo mara moja
Katika hatua nyingine mkuu huyo wa mkoa akawataka watumishi wenye ajira kuwajibika ipasavyo huku akiahidi kuzungumza na katibu mkuu wizara ya ardhi aweze kuwahamisha watumishi wenye ajira ambao wamekaa katika wilaya hiyo kwa muda mrefu.
Pia soma
~ Halmashauri ya Ilemela Kitengo cha Ardhi baadhi ya Maafisa wanazungusha Watu ilimradi tu 'ueleweke'
~ Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Mwanza yachukua hatua kuboresha Huduma Za Ardhi Ilemela