Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Tuambie Mbowe alipotangaza mtoto wake amepata Corona!?Makonda hajatangaza idadi wa wagonjwa amemtaja mtoto wa Mbowe kwa sababu baba yake ametoa taarifa hadharani! kuwa mwanae ameambukizwa!
Majaliwa akimgusa Makonda atatimuliwa kama Mbwa koko siku hiyo hiyo , mguse mtafuta waganga na mpanga mauaji uone moto !Paulo haya mamlaka ya kutangaza watu wanaougua corona anayapata wapi?!
Kama mleta mada hii hajamzushia Paulo, basi rungu la waziri Mkuu limuangukie Paulo...hatutaki utani kwenye kutekeleza amri za wakuu serikali.
Mtu mmoja hivi anaetumia kutukana wananchi wema ili apate vyeo!
Majaliwa akimgusa Makonda atatimuliwa kama Mbwa koko siku hiyo hiyo , mguse mtafuta waganga na mpanga mauaji uone moto !
Huyu mtu ni wa ajabu mno, Remmy Ongala aliimba kwamba ukiwa mtenda mabaya wewe mwenyewe hujijui, na kila siku utasema unaonewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukosefu wa maarifa ya uongozi.Je ndiko tumefikia kwa wagonjwa was Korona kutajwa kwa majina?, Kwamba makonda ni mwenye dhamana yakutoa taarifa kuhusu wagonjwa??. Hakika nachelea kusema uteuzi was vijana wengi awamu hii umeonesha kiasi gani vijana hatuna uwezo wakuongoza kwa weledi, I hope next term turudishe wazee tu tujifunze toka kwao.
Nadhani huyu anashauri washauri .Nani amempa ruhusa ya kutangaza magonjwa ya watu. Hana ethics za kazi,mambo mengine ukiyajua kupitia ofisi yako,unaomba ushauri kwa wataalam. Paul Makonda kama mkuu wa mkoa,angetaka ushauri kwa RMO wake kabla ya kutaja magonjwa ya watu hadharani