Usiseme wazee, sema watu wazima.Je ndiko tumefikia kwa wagonjwa was Korona kutajwa kwa majina?, Kwamba makonda ni mwenye dhamana yakutoa taarifa kuhusu wagonjwa??. Hakika nachelea kusema uteuzi was vijana wengi awamu hii umeonesha kiasi gani vijana hatuna uwezo wakuongoza kwa weledi, I hope next term turudishe wazee tu tujifunze toka kwao.
...Na unakokwenda nipabaya...Huyu mtu ni wa ajabu mno, Remmy Ongala aliimba kwamba ukiwa mtenda mabaya wewe mwenyewe hujijui, na kila siku utasema unaonewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda alishasema yeye ni zaidi ya mawaziri wote, ina maana baada ya Magufuli na mama Magufuli anayefuatia ni MakondaLakini mamlaka hiyo mbona ni ys waziri mkuu, toka lini Makonda akawa PM wa Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ni zaidi ya hao ( Kwa maelezo yake mwenyewe)"Mwenye mamlaka ya kutangaza mgonjwa wa corona ni Waziri wa Afya, Waziri Mkuu au Rais" JPM.
Mkuu, ukisema hivyo, utakosa hoja ya kusema CCM haileti maendeleo, ukijisifia mahali unapoishi kwamba Ni pazuri unasifia maendeleo yaliyoletwa na CCMCCM ni chama cha watu wavijijiniwasiokuwa na umeme wala maji.