johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
J J Mnyika atatosha!Pendekeza hapa jina la mkuu wa mkoa wa chato.
nipendekezwe mimi ili nikaubomoe ule uwanja wa ndegePendekeza hapa jina la mkuu wa mkoa wa chato.
Mpeni meko. Si yupo chatoPendekeza hapa jina la mkuu wa mkoa wa chato.
Hahahaaaa........ Inaitwaje bwashee?Wilaya ya kakonko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kukariri bwashee!Ujinga mtupu hakuna hicho kitu...upuuzi uliotukuka
Inawezekana Jiwe alikuwa anatikea huko Rwanda-Urundi ndio maana alihusudu sana utekaji & mauajiHizo wilaya zinazounda mkoa wa Chato ni wilaya zilizokaliwa na warundi na wanyarwanda kuanzia Lafudhi hadi mila na desturi.
Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe
RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera.
Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato unaopendekezwa utakuwa na wilaya 5 ambazo ni Kakonko kutoka Kigoma, Bihalamuro na Ngara kutoka Kagera na Bukombe na Chato yenyewe kutoka Geita.
Source: ITV habari!
Kazi Iendelee
Hahahaaaa..... Na sisi tutaunda mkoa wa Rombo!Hapa Wana ~Ccm Wanaguna Tu π₯π£πππΆππ
Toka Pepo Mchafu!!!ππ ππ
Shindwa ππππ
Legea Kama Mlenda ππ ππππππ