Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Kama za Mkoa wa Mara zilivyokaliwa na wajaluo (Kenya) , Arusha wamasaai (Kenya) Mtwara na Lindi wamakonde (Nchumbiji) - Ruvuma wangoni na wayao (Malawi) - Kilimanjaro pia na Kagera upande wa mpakani na Uganda! Pia Mpanda,Katavi, Sumbawanga (Zambia) - Kigoma wamanyema (DRC).Hizo wilaya zinazounda mkoa wa Chato ni wilaya zilizokaliwa na warundi na wanyarwanda kuanzia Lafudhi hadi mila na desturi.
Kwa hiyo Usishangae warundi na wanyarwandwa kuwapo. Ubaguzi ulishindwa hata Africa ya Kusini wakati wana bomu la nyuklia! Sembuse ubaguzi wako wa chuki tu na ujinga! Shame on you!