mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Jina la chato lina gundu mzee kila kitu cha chato kinapingwaBiharamulo panaweza kuwa makao makuu ya mkoa lakini jina likabaki Chato!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la chato lina gundu mzee kila kitu cha chato kinapingwaBiharamulo panaweza kuwa makao makuu ya mkoa lakini jina likabaki Chato!
Wewe mjita?Wilaya ya kakonko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaonuna na wanune hahahahahh...................................Lakini kwa upande wangu naona ni poa kabisa. Hizi wilaya japo juu ziko mbali sana na makao makuu ya mikoa iliyo. Mfano Ngara to Bukoba ni mbali kuliko Ngara to chato. Kwa upande wangu naona imetulia tu.
Naona wako Sawa Tu. Sema tatizo mkoa umeitwa chato Bora ungeitwa biharamulo na makao makuu yakawa pale.Mikoa iliyokaa vibaya kijiografia ni Morogoro, Tabora, Pwani na Lindi, hiyo ndiyo ingepewa kipaumbele kugawanywa
Lakin hii mikoa ina population density na population ndogo kuliko kagera iliyogawanywaMikoa iliyokaa vibaya kijiografia ni Morogoro, Tabora, Pwani na Lindi, hiyo ndiyo ingepewa kipaumbele kugawanywa
NakutafutaWilaya ya kakonko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona makabila yanafanana Tu.mkoa wa chato utakua na makabila mseto hadi raha
Wape mchongo wewe...Siye yetu macho
Mambo haya angeyataka mchonga meno leo hii Butiama ingekuwa mkoa
Tatizo ni jina chato.Kwa nini walazimishe hivyo mkoa wa Chato kuzaliwa ? Kwa nini uende ukapore Wilaya 3 za mikoa mingine Ili tu kutimiza adhma ya Mwendazake?
Bukoba kuna uwanja mdogo wa ndege lakin uko busy.Hiyo wilaya ya chato iunganishwe na mkoa wa Bukoba ili uwanja wa ndege wa kimataifa wa chato uwe kwetu sisi wahaya wenye pesa, wasomi, wenye mapesa ya kutumia usafiri wa ndege tufwaidi. Vinginevyo hapo chato patakuwa magofu kama kule badolite nyumbani kwa marehemu tajiri dictator mobutu seseko wa zaire bhoojo.
Sawa Mkuu, ila ukitazama kwenye ramani hata hivyo mtu wa kutoka Bukombe ni kama Chato kwake ni mbali zaidi kuliko GeitaLakin hii mikoa ina population density na population ndogo kuliko kagera iliyogawanywa
Ama kweli kutangulia sio kufika! Hapo kabla, Chato ilikuwa ipo wilaya ya Biharamulo... leo hii Biharamulo inataka kuwa Mkoa wa Chato!Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato unaopendekezwa utakuwa na wilaya 5 ambazo ni Kakonko kutoka Kigoma, Bihalamuro na Ngara kutoka Kagera na Bukombe na Chato yenyewe kutoka Geita.
Kwa hilo ni kweli parefu sana shida ni namna ya mtu wa Ngara kufika Chato panakuwa parefu sanakutoka ngara to bukoba ni km 400
Musiba Veronika francePendekeza hapa jina la mkuu wa mkoa wa chato.