The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Hivi uko serious au??? Yaani kijiografia na kimila huwezi kuiondoa muleba kutoka KageraBadala ya kuchukua wilaya ya ngara bora wachukue muleba ndio iende chato, pia mkoa wa Geita utakuwa na Kabila moja washubi hii sio nzuri kwa umoja wa kitaifa
Kuiongezea serikali mzigo tu kwenye uendeshaji wa huo mkoa mpyaSio mbaya Kama kuna critical conditions za kufanya hivyo
Haya mambo bhna;Mkuu wa mkoa wa Geita mh Rose amesema ombi la kuunda mkoa wa Chato likipita basu mkoa wa Geita utabakiwa na wilaya za Busanda, Nyang'wale na Geita yenyewe na Mbogwe
RC Rose amesema mkoa mpya wa Chato utapokea wilaya 1 kutoka Kigoma na 2 kutoka Kagera.
Kwa maana hiyo mkoa mpya wa Chato unaopendekezwa utakuwa na wilaya 5 ambazo ni Kakonko kutoka Kigoma, Bihalamuro na Ngara kutoka Kagera na Bukombe na Chato yenyewe kutoka Geita.
Chanzo: ITV habari!
Kazi Iendelee
Hii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.Lakin bado ni mbali Sana. Yaan ushafika morogoro tayari ukitoka Dar.
Population density na population zinamata imagine kagera ina 3 million people,na density ya 120 people per square km. So ni sahihi Sana kuugawa.
Mkoa kama Dar ni mdogo na unawilaya nyingi sababu ni population density na population.
Ni upumbavu kutengeneza mkoa mpya Kwa sababu ya umbali Tu bila kuangalia population utakuwa mkoa wa nyasi Tu na mbuga mfano kama Lindi yenye density ndogo
Mkuu hao viongozi wa mkoa nao wana kazi zao ambazo haziwezi kufanywa na afisa wa kata,so kama population imekuwa kubwa kwa nn wasisogezewe huduma ambazo hawazipati ngazi za chiniHii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.
Enzi za Mwalimu taifa halikuwa limeunganishwa kiasi hiki lakini lilikuwa na mikoa kidogo. Haya mambo sijui kusogeza huduma naona ni siasa tu. Viongozi wa ngazi za chini wapo, hao wafikishe huduma huko chini. Ni jambo la ajabu kuwa huduma hazifiki kwa sababu hakuna RC, RAS na wenzao wa mkoani.
Pale wanasumbuliwa na umimi na ujinga, nimetembelea vijiji vyote wilaya nzima pale tatizo elimu ipo ipo ila fikra zao zimefungwa na kujifunga sana. Si wakazi asilia na baadhi ya wahamiajiHahahahaha . . .yaani nimechoka mpaka Basi. Eti chenga ya mwili tangu kitambo like serious ? Ni kweli Biharamulo imekuwa nyuma sana kuliko hata Chato. Nilishangaa sana ile siku nilipofika Biharamulo. Yaani wilaya ya zamani ila miundombinu Sasa daaah
Kumbe Kuna mambo ya mila tena duhHivi uko serious au??? Yaani kijiografia na kimila huwezi kuiondoa muleba kutoka Kagera
Sasa mkoa unatengenezwaje bila kuangalia population na density?Hii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.
Enzi za Mwalimu taifa halikuwa limeunganishwa kiasi hiki lakini lilikuwa na mikoa kidogo. Haya mambo sijui kusogeza huduma naona ni siasa tu. Viongozi wa ngazi za chini wapo, hao wafikishe huduma huko chini. Ni jambo la ajabu kuwa huduma hazifiki kwa sababu hakuna RC, RAS na wenzao wa mkoani.
Maswa inaweza kurudishwa mkoa wa Shinyanga na tarafa ya Lohumbo inaweza kufanya wilaya mpya kama ilivyofanywa tarafa ya Ushetu kuwa wilaya. Yote haya yanawekana. Iacheni Kahama ijinafasi.
Ila hii ni faida kwa Geita coz eneo la utawala litabaki dogo na mapato yataijenga vizuri Geita na mkoa wa Chato utaitegemea Geita kibiashara
Hii hoja haina uzito wowote. Population density haijustify mahala fulani pawe mkoa.
Enzi za Mwalimu taifa halikuwa limeunganishwa kiasi hiki lakini lilikuwa na mikoa kidogo. Haya mambo sijui kusogeza huduma naona ni siasa tu. Viongozi wa ngazi za chini wapo, hao wafikishe huduma huko chini. Ni jambo la ajabu kuwa huduma hazifiki kwa sababu hakuna RC, RAS na wenzao wa mkoani.
Mnaruka ruka tu. Hakuna sababu za msingi za kuanzisha mkoa mpya. Kama kigezo ni idadi ya watu, kwa akili zenu mngependekeza tugawanye na nchi ili awepo Rais atakayefikisha huduma zaidi kwa wananchi.Sasa mkoa unatengenezwaje bila kuangalia population na density?
Hebu kasome impact ya population na density kwenye utawala wa mkoa halafu uje kucomment tena.
Unafikiri wilaya za kigamboni na ubungo zingeanzishwa bila kuwa na population kubwa?
Imagine[emoji848][emoji848][emoji848]Hivi JPM alienda kwa mganga gani yaani jamaa amekufa huku wazima wana haha kama kondoo
Mkuu hapa umekuja kiubaguzi zaidi. Kwa akili hizi ndio maana sisi watu wa Ngara huwa tunakumbana na ujinga uliopitiliza tukikutana na jamaa wa uhamiaji.Hizo wilaya zinazounda mkoa wa Chato ni wilaya zilizokaliwa na warundi na wanyarwanda kuanzia Lafudhi hadi mila na desturi.
Mbona mkoa wa Iringa una kabila moja tu la Wahehe!Badala ya kuchukua wilaya ya ngara bora wachukue muleba ndio iende chato, pia mkoa wa Geita utakuwa na Kabila moja washubi hii sio nzuri kwa umoja wa kitaifa