RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Mimi kilasiku nitaendelea kumlaumu RC

Kwa heshima na cheo chake hakutakiwa kutoka na watoto under 30

Kuna mashangazi wengi WANAJITAMBUA inamaana hakuwaona ???
Hakuna shida hata kama angetoka na binti wa miaka 20 kwa sababu sheria za nchi zinaruhusu hilo, hapa tatizo ni ulawiti wala sio miaka ya huyo binti.
 
Hilo la uvccm linawezekana lakini sina ujuzi nalo kwa hilonsiungi mkono. Umalaya na ukahaba hauna chama.
 
Yaan unamtaka RC Mwanza atoke, lakin hukuandika uzi kuhusu msomali mwizi mkubwa wa, mabilioni Bashe:Au mwizi mkubwa Mwigulu, au mwizi mkubwa Kipara Makamba.

Achana na hao MaRC hawana effect kwenye uchumi. Mapenz ni nn? Mbona kuna wanawake wanajiuza wazuri tu na wengi.Sasa huyo binti malaya mjinga wa ahead ndio atusababishe watu waache kazi zao, wakati kuna wezi wakubwa wanaoiba pesa za serikali na kufanya watu wawe masikini.
 
Kesi ipelekwe mahakamani ili ikajulikane kama nani anasema uongo na nani anasema ukweli.
 
Mimi naamini kuwa hajalawitiwa, hivi alilawitiwa kwa kufanywa kwa nguvu?

Mtu atakulawiti vipi kama kweli mwenyewe hutaki?

Huyo binti ni mwongo.
Ndiyo maana tunapendekeza kesi iende mahakamani , kama kweli amedanganya atapigwa maswali kwenye cross examination hadi yale yote aliyofundishwa kusema yatayeyuka kichwani ataishia kulia tu.
 
Hilo la uvccm linawezekana lakini sina ujuzi nalo kwa hilonsiungi mkono. Umalaya na ukahaba hauna chama.
Upo sahihi kabisa. Hata makanisani na misikitini mbona mambo ni mengi. Ni vile tu matukio yanatumika kuinua na kushusha wengine
 
Usikute mtanda nae anapenda ndogo kama Nawanda . Anyway Lucas aongee na mama kwani justice delay is justice denial
 
Mtanda ni kiongozi duni anayelindwa na Kasimu Majaliwa
 
Huyo binti ni malaya tu.

RC alikuwa na nia njema ya kutaka wayamalize kimya kimya, alikuwa kishafahamu wana mahusiano.
Hata kama ni malaya,lakini hakubaliani na kitendo cha kulawitiwa,yeye kasema anapenda mbele tu,sasa RC ndiyo aka force kumla tigo kwa nguvu, na kulawiti ni kosa kisheria, hata Mzee Foxy akikulawiti na ukaenda ku report police bado nae tutamkamata ili afikishwe mahakamani kujibu mashitaka yake! Binti ana hoja asikilizwe!!
 
Hako kabinti ni kahuni, na kanatumika na chadema
 
Kama kweli binti Tumsiime alilawitiwa na RC Nwanda, Jinsi kesi hii inavyocheleweshwa kupelekwa mahakamani ndivyo ushahidi wake unavyozidi kuharibika na kuvurugika na kuwa rahisi kwa Tumsiime kupoteza haki yake.
 
Wakati mwingine kama upande wa mashtaka haujapata ushahidi wa kutosha wa kushinda kesi unaweza usiwe na haraka ya kwenda mahakamani. Nani anayetaka aharakishe kwenda mahakamani, halafu kwenye ushahidi ionekane hauna nguvu? Maana upande wa mashtaka nao ukiharakisha kwenda mahakamani halafu mahakama ikatupilia mbali ushahidi, itaonekana as if hawakufanya kazi yao vizuri. Na kwa suala kama hili linahitaji ushahidi mzito, otherwise mshtakiwa anaweza akaibuka kidedea.
 
Hii kesi ya Tumsiime na Nawanda ina ushahidi na vielelezo vingi sana kuliko ya wanaodaiwa kuwa makahaba waliokamatwa na Hassan Bomboko wa Ubongo.
 
Ukapimwe akili je ingekuwa mwanao ndo kafanyiwa hivo

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kilasiku nitaendelea kumlaumu RC

Kwa heshima na cheo chake hakutakiwa kutoka na watoto under 30

Kuna mashangazi wengi WANAJITAMBUA inamaana hakuwaona ???
RC hapendi Gen X, yeye anapenda Gen Z,na hawa ndiyo habari ya mjini kwa sasa,maana wana mauno kuliko hata wakubwa wao ukiwakuta wanachezesha matako yao kwenye vigodoro!!
 
Binti naye ni Kilanga, malaya, msimbe, dada poa and the like.
Alikuwa mzinzi na msherati na huyo RC siku nyingi. To me, Yote kwa yote acha amlawiti!

She was supposed to be a good student, sasa anahangaika na wanaume anategemea nini?
Kwa hulka ya huyo binti hiyo kesi ikifika mahakamani Nawanda is walking away a free man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…