RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Aione mama yetu Dkt. Gwajima D

Pia soma
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima sakata zima.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Sema hii issue iko complicated ukizingatia anadai “walikuwa wapenzi” kwa miezi sita.
 
Yaani bora kama alikua hawezi kusaidia angekaa zake atulie tu, ila kama ni kweli yaliyosemwa yako hivyo basi amejivunjia heshima na uaminifu kwa raia.

Sema hii kesi binti anatakiwa apate wakili ambae yuko vizuri sana bila hivyo wote wawili watahukumiwa, maana wanasema aliye ruhusu kuingiliwa na aliyemuingilia mwenzie wote wanakua na makosa, na mbaya zaidi hao walikua wapenzi.
 
Rais anaunda kamati kushughulikia mambo ya haki jinai zinazotumia pesa nyingi..halafu yeye mwenyewe anaachia jinai mbaya kabisa km hii inavurugwa na watu aliowateua yeye mwenyewe..ya nini kupoteza pesa kuunda makamati wakati ndani moyoni mwake hana nia njema?? Mungu na ahukumu kwa haki..! Hizi ni ghiliba mbaya kabisa..
 
Yaani bora kama alikua hawezi kusaidia angekaa zake atulie tu, ila kama ni kweli yaliyosemwa yako hivyo basi amejivunjia heshima na uaminifu kwa raia.

Sema hii kesi binti anatakiwa apate wakili ambae yuko vizuri sana bila hivyo wote wawili watahukumiwa, maana wanasema aliye ruhusu kuingiliwa na aliyemuingilia mwenzie wote wanakua na makosa, na mbaya zaidi hao walikua wapenzi.
Kuwa wapenzi kunaruhusu kulawiti? Binti ameeleza walihitilafiana kwa sababu hiyo hiyo ya RC kutaka amlawiti..yaani pesa zetu wazazi analipwa mtu aje kuzitumia kulawiti watoto wetu!!! Kwanza kiongozi unakuwaje mpenzi na mtoto wa chuo?? Wewe unaona imekaa vzr???
 
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.

Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.

Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).

RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.

Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.

Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.

Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.

Pia soma
Ambacho hakijui RC wa mwanza hajui kamanda wa mkoa wa mwanza NI NSHOMILE na DEPUTY COMMISSIONER WA JESHI LA POLISI hajui hata huyo binti NI NSHOMILE kitu ambacho hapo kamanda huyo anaweza kumsaidia vizuri mjukuu wake na kesi ikaenda vizuri waache waendelee kujichanganya hawajui Hilo sakata vizuri wataliwa vichwa wote nadhani hawajui msimamo alionao wilbod mtafungwa huyo amenyooka hatari na hababaishwi na mtu
 
Kwa ambao hawajui ukiacha kufuata sheria za nchi tangu lini Wahaya wanaachana kwenye shida mwenzao akazama?

RC Mwanza katika sakata la TUMSIME inaonekana alipambana vya kutosha kumsaidia port wake wa Mtwara hawa watu ni hatari sana kuwa Watumishi wa umma mtu amefanya kitendo kiovu kwa MWANAFUNZI anayejitafutia ELIMU tena binti wa miaka 21 RC unataka kesi ifutwe ?

Sasa mjue hapo mnajichafua wenyewe kwani Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ni Deputy commissioner wa JESHI la POLISI na ni Kamanda aliyenyooka na hayumbishwi na nyie huyo Kamanda kumbukeni huyo binti TUMSIME hata kwa kumsaidia kumbukeni anaweza kumchukulia kama mwanae kwani ni Mhaya pia

Hata hivyo kitendo kile kilichofanyika nichakinyama na siyo cha kuvumilia mbele ya jamii! Viongozi kama RC mwanza ilipaswa atumbuliwe kwa kutaka kuharibu kesi ya msingi watu kama RC Mwanza na aliyekuwa RC simiyu NI watu hatari Sana kwenye jamii ya kitanzania hawa NI watu wanaofurahi kukanyaga sheria za nchi hawafai kuwa viongozi.

Nampongeza Sana kamanda wa mkoa wa mwanza kwa kusimamia taratibu na sheria za nchi. Vitendo viovu havikubaliki kwenye jamii kiongozi lazima uwe mfano na siyo kuonekana katili wa kupindisha sheria.
 
Kwa ambao hawajui ukiacha kufuata sheria za nchi tangu lini wahaya wanaachana kwenye shida mwenzao akazama ? RC mwanza katika sakata la TUMSIME inaonekana alipambana vya kutosha kumsaidia port wake wa mtwara hawa watu ni hatari Sana kuwa watumishi wa umma mtu amefanya kitendo kiovu kwa MWANAFUNZI anayejitafutia ELIMU tena binti wa miaka 21 RC unataka kesi ifutwe ? Sasa mjue hapo mnajichafua wenyewe kwani kamanda wa polisi mkoa wa mwanza ni Deputy commissioner wa JESHI la POLISI na NI kamanda aliyenyooka na hayumbishwi na nyie huyo kamanda kumbukeni huyo binti TUMSIME hata kwa kumsaidia kumbukeni anaweza kumchukulia kama mwanae kwani NI mhaya pia hata hivyo kitendo kile kilichofanyika nichakinyama na siyo cha kuvumilia mbele ya jamii! Viongozi kama RC mwanza ilipaswa atumbuliwe kwa kutaka kuharibu kesi ya msingi watu kama RC mwanza na aliyekuwa RC simiyu NI watu hatari Sana kwenye jamii ya kitanzania hawa NI watu wanaofurahi kukanyaga sheria za nchi hawafai kuwa viongozi.

Kwani huyo Binti wa kihaya kugawa jicho RC ndo alimbikiri au kitambo tu alianza?
 
Ukabila ni janga! Umeharibu hoja kwa kuweka utoto wa ukabila
 
Nampongeza Sana kamanda wa mko
Your content
a wa mwanza kwa kusimamia taratibu na sheria za nchi. Vitendo viovu havikubaliki kwenye jamii kiongozi lazima uwe mfano na siyo kuonekana katili wa kupindisha sheria.
Binti naye ni Kilanga, malaya, msimbe, dada poa and the like.
Alikuwa mzinzi na msherati na huyo RC siku nyingi. To me, Yote kwa yote acha amlawiti!

She was supposed to be a good student, sasa anahangaika na wanaume anategemea nini?
 
Huyo bint ni mshenzi Sana
Hapana si mshenzi bali pesa za walipa kodi sie masikini zinatumika vibaya kwenda kulawitia watoto.Imagine libaba lote lile linaenda kumsokomeza mtoto nyuma!? Hata ingekuwa ni mbele haifai kwa utofauti wa age,status na morals alizonazo kiongozi tena mteule wa rais.
Ila ccm!hakika imejua kuwatumia watanzania!

Tanzania inahitaji GEN Z 100× kuliko kenya.
 
Back
Top Bottom