Ni mbinu ya kitoto ambayo pia baadhi ya familia kwa sasa wanaona ni kama wanatumika kuhalalishia wanasiasa ulaji na kujijenga itafika muda itachokwa.WEWE UNATAKA TUSAHAU KIVIPI?? HATUTASAHAU .MWISHO NITOE NASAHA POLISI SAJILINI CHAMA CHENU
Unaonaje ukiacha ngonjera za kishoga ukapangua hoja zao moja baada ya nyingine, freedom of expression haipaswi kabisa kuwepo? Kama kuna mtu amevunja sheria si mumpeleke mahakamani?(mahakama hizihizi za mchongo ili tushuhudie drama kwa macho na masikio yetu).Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.
Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.
Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.
Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.
MALENGO NI.
tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.
Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.
Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
chadema masalia kwa kutumia vijana BAviCHA wanaofadhiliwa na kulelewa na M.sarungi pale nairobi ni malofa sana kwakweli.Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.
Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.
Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.
Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.
MALENGO NI.
tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.
Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.
Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Poor perception. Wapeni maiti za ndugu zao wakawazike kwa heshima.Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.
Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.
Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.
Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.
MALENGO NI.
tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.
Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.
Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Yanini matusi mkuuUnaonaje ukiacha ngonjera za kishoga ukapangua hoja zao moja baada ya nyingine, freedom of expression haipaswi kabisa kuwepo? Kama kuna mtu amevunja sheria si mumpeleke mahakamani?(mahakama hizihizi za mchongo ili tushuhudie drama kwa macho na masikio yetu).
Serikali sio yao maana hawakuichagua, na ndio sababu inawaonea, kuwateka, kuwaibia, kuwalawiti, kuwauwatunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana,
Kitu pekee ni kuwa, vyovyote itakavyokuwa ila mioyo yenu haitokaa ije kuwa na amani hata kama ardhi itawameza Leo, majuto na huzuni zitadumu hata huko mbinguni tutakapoenda...Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.
Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.
Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.
Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.
MALENGO NI.
tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.
Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.
Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Unaamini hiyo ndio suluhu?? Unaitaka kiri gani Mkuu... Kuna namna nyingi za kukiri hata kitendo cha kukubali mauaji ni kukiri pia ila tusitegee Rais kusimama na kusema nimekosa nisameheni... Hili hata kama Rais angekua Lissu asingelifanya.Kitu pekee ni kuwa, vyovyote itakavyokuwa ila mioyo yenu haitokaa ije kuwa na amani hata kama ardhi itawameza Leo, majuto na huzuni zitadumu hata huko mbinguni tutakapoenda...
Hamkuyatendea haki maisha na uhai wa viumbe vilivyostahili kuishi kama ninyi...
Kusonga mbele kama Taifa, tunahitaji viongozi watakao ukiri ukweli wa kilichotokea, ukweli usio na mashaka....
Kama ilivyo siku inapokuwa ndefu kwa pumzi aliyonayo mwanadamu, ndivyo miaka mitano itakavyokuwa migumu
Kirini kilichotokea, tusonge mbele
Kiongozi, serikali ilichaguliwa na walioichagua (siongelei mapishi yaliyofanyika)Serikali sio yao maana hawakuichagua, na ndio sababu inawaonea, kuwateka, kuwaibia, kuwalawiti, kuwauwa
Unataka watu wa-assume waliouawa MO29 ni mapanya?Unaamini hiyo ndio suluhu?? Unaitaka kiri gani Mkuu... Kuna namna nyingi za kukiri hata kitendo cha kukubali mauaji ni kukiri pia ila tusitegee Rais kusimama na kusema nimekosa nisameheni... Hili hata kama Rais angekua Lissu asingelifanya.
Yalitokea maumivu yatabaki daima na tukio lile litaandikwa hata kwa wino wa damu ila kulitumia kisiasa sioni kama ni busara bali kutonesha vidonda vya waathirika kila siku. Ukiangalia namna linavyozungumziwa sio kwamba ni kuwafariji watanzania bali kujitafutia mamlaka
Jibu hoja, hakuna tusi hapo dogo.Yanini matusi mkuu
Nyie ******* hivi mnadhani kuua binadamu ni jambo dogo eeh? Mnataka watu wasiongelee damu mlizozimwaga? Acheni usenge!Kuna propaganda za kijinga sana zinaendelea kupitia mitandao ya kijamii ambazo kimsingi waandaaji wanajiona ni wajanja sanaaa kumbe wapo nyuma ya wakati.
Propaganda hizi zinalenga kuamsha hasira za wananchi hasa kundi la vijana. Kimsingi zinakuja na ajenda ya kukumbusha mauji ya MO29 na kulaani.
Ukichunguza tangu wikii hii kuanza kumekua na press nyingi za CHADEMA kuanzia BAVICHA, BAWACHA na tarehe 22/12 Katibu kanda ya Victoria, leo Boni Yai ana Press ukiangalia na wengine watajitikeaza zaidi. yanayoongelewa ni yaleyale.
Mzee Wariaoba nae kaingia kwenye mkumbo aidha kwa kujua au kutokujua japo nina uhakika anakijua anachokifanya kwasababu yupo kwenye mpango tangu mwanzo ila anatumia mgongo wa kusema ukweli.
Jambo Tv kwa siku mbili hizi kazi anayoifanya ni kutembelea familia na kuhoji watu kuanzia Mara hadi kwa wanafunzi unadhani ni bahati mbaya. HAPANA.
MALENGO NI.
tunaelekea D25 amshemi hisia za wananchi, wachonganisheni na serikali yao kwa kadri itakavyowezekana, ongeeni na andikeni mitandaoni kwa wingi, tengenezeni headlines, changieni wahanga waone umuhimu wenu.
Njia hii imekua ikitumika kila kunapokua na tukio la kitaifa la wazi, kila zinapokaribia tarehe za maandamano. Sio bahati mbaya hata kidogo.
Kila kinachofanyika wanakiona , hawajalala hawa wana sikia, wapo.
Yaani wewe unamwona huyo Mzee Warioba ndio mwerevu sana? Mzee huyo kwa sasa ana miaka zaidi ya 80 hata kumbukumbu zimeshaanza kupotea then wewe ndio unamwona mwerevu sana? Utakuwa na matatizo ya fikra!!Kwamba wewe mleta mada ni mwelrevu kuliko mzee Warioba? Warioba ambaye aliomba appointment zaidi ya mara 3 kuonana na Samuya ili amshauri kabla ya uchaguzi, lkn samuya akaza fuvu
Hao RC unawataja kwasabb gani? Au na wewe unacheza ngoma ya udini iliyoanzishwa na bi. Msumi?
Hivi unataka wananchi wapotezee mauaji yaliyofanywa na bi. Msumi?