RC Serikali na wananchi sio wajinga kiasi hicho mnachodhani

RC Serikali na wananchi sio wajinga kiasi hicho mnachodhani

Sasa matusi ya nini??? Mnadai haki na hamuwezi kuvumilia mawazo mbadala nyie si mtakua wauaji zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mmeuwa raia wasio na hatia halafu hamtaki kuwasikia wakidai haki zao?
Maiti mlizipeleka wapi
Tupeni tukazike wapendwa wetu mapimbi nyie.
 
Yaani wewe unamwona huyo Mzee Warioba ndio mwerevu sana? Mzee huyo kwa sasa ana miaka zaidi ya 80 hata kumbukumbu zimeshaanza kupotea then wewe ndio unamwona mwerevu sana? Utakuwa na matatizo ya fikra!!
Nadhani huelewi maana ya werevu
 
Back
Top Bottom