Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu
Hivi CCM hamnaga mfumo wa vetting kudhibiti nani ataongelea chama chenu?
Hizi kauli mnataka wanaume wazichukuliaje? Na huyu anayejiita Queen ni nani ndani ya chama chenu mpaka awatolee matamko?
======================================
Kupata taarifa na matukio kuelekea uchaguzi mkuu 2025 kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
“Kwanza umri wa CCM kutimiza miaka 48 hapa leo tulipo inaonyesha namna ambavyo wananchi wanaamini Sera na Ilani za CCM lakini mafanikio ya nchi hii ni kutokana na msingi mzuri wa CCM ambapo umeweka sheria nzuri kanuni na kutengeneza viongozi bora na moja ya matarajio yangu nikuona wanawake wengi wanampigia kura Samia kuwa Rais wa nchi hii
Soma pia: Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume
Nitashangaa kuona wanawake wa vyama vingine wakiwapigia kura wagombea wa vyama vyao ambao ni wanaume kwa sababu moja ya ajenda ya wanawake Dunia ni wanawake na uongozi sasa nitashangaa kuona mwanamke unampigia kura mwanaume hapo utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake”
Pia soma: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
Source: Clouds FM