MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
acha kuandika pumba,Kwani hii nchi inaongozwa kidini?
wapi nimeandika nchi inaongozwa kidini? unajua ni kwanini viongozi wanakula viapo kwa bibilia au quran?
that means sio atheist and izo bibles au quran zina binding principles ambazo kwa kila muumini ni lazima kuzifuata na ukizingatia dini ya Bi Tozo iko very strict linapokuja suala la shariah.
there's no way mwanamke anaruhusiwa kushika uongozi wa ngazi ya juu kwa dini ya kiislam, never.!