Pre GE2025 RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Wechsler (WAIS–IV, WPPSI–IV) IQ classification
IQ Range ("deviation IQ")
IQ Classification
130 and above
Very Superior
120–129
Superior
110–119
High Average
90–109
Average
80–89
Low Average
70–79
Borderline
69 and below
Extremely Low
 
Huyu naye ni kiongozi? Nina mashaka na uwezo wake.
 
Sendiga translated in english to I'm dying
 
Nitashangaa mwanaume ukimpigia kura mwanamke
 
Hizi ndo kauli mamlaka ilomteua inapenda kusikia. Atamke wazi wanawake waoane wenyewe kwa wenyewe na mimba wapeane wenyewe shubhamit
 
noma sana,

huwa najiuliza ni kwa namna vipi Bi Tozo alipenya mpaka kuwa rais ilhali Dini yake haimruhusu ata kutoa hotuba ndani ya msikiti wa kijiji nakosa majibu.

enyi wanawake, there is no way mtakuja kuishinda nature.!!
Kwani hii nchi inaongozwa kidini?
 
CCM Ni Chama Kilichokataliwa Tanzania Nzima
Upinzani Wahakiikishe Kura Zinahesabiwa Wazi Wazi
 
Raisi hachaguliwi sababu ni mwanamke.
 
Hakika Shetani yupo kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…