Pre GE2025 RC wa Manyara Queen Sendiga: Nitashangaa mwanamke unampigia kura mwanaume. Utakuwa umesaliti ajenda ya wanawake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu hutumika vibaya sana - maybe hujiona kuwa hakupasa kushika wadhifa huo
 
Dar nako mama mjamzito kaambiwa aende afanyiwe upasuaji na mmewe nyumbani
 
Oktoba 2025 wanaume tukija na ajenda ya kuwapiga mashine wanawake , wanawake msianze kulialia.
Sasa mbona unaongea kinyume? Kuwapiga mashine itakuwaje agenda ya kuwaliza wanawake? Hapo ni kuwafurahisha.
Agenda ni KUTOWAPIGA mashine ndo watalialia.
 
Huyu mwanamke naye kakosa la kuongea.. Atulie afanye kazi

Nini tena mambo ya maumbile.. 🤔🤔🤔

Mbona yeye hakupigiwa alipowania urais!!!!
 
noma sana,

huwa najiuliza ni kwa namna vipi Bi Tozo alipenya mpaka kuwa rais ilhali Dini yake haimruhusu ata kutoa hotuba ndani ya msikiti wa kijiji nakosa majibu.

enyi wanawake, there is no way mtakuja kuishinda nature.!!
Ukweli ndo huo.Huwezi kushindana na nature ila hata kama ni nature huyu kazidi jamani,sio kwa kudolola huko
 
Pamoja na hayo ila mi niko tofauti kidogo nadhani jinsia ya ke hawapaswi kuchukua nafasi za juu kabisa za uongozi.
Sababu zangu sitazitaja
 
😲😲😲
 
Pamoja na hayo ila mi niko tofauti kidogo nadhani jinsia ya ke hawapaswi kuchukua nafasi za juu kabisa za uongozi.
Sababu zangu sitazitaja
Wanaume wa TZ mliwabeba kwa kisingizio cha kuwawezesha sasa wanabweteka. Kazi kwenu.
 
Wanaume wa TZ mliwabeba kwa kisingizio cha kuwawezesha sasa wanabweteka. Kazi kwenu.
Mambo ya haki sawa hayo ndugu.
Mimi bado sikubaliani nayo ndo maana kwangu bado nafasi ya mwanamke iko palepale
 
Mabingwa wa kuhubiri haki sawa duniani ni Marekani. Nenda kaangalie kwenye nafasi za maamuzi wamejaza jinsia ipi.

Marekani anawaingiza chaka.
 
Nimsaidie Malkia kuboresha hoja yake. By extension Malkia anasema, atashangaa muislam kumpigia kura asiye muislamu kwani kufanya hivyo ni kusaliti ajenda ya waislamu. Malkia anashangaa mkristo kumpigia kura asiye mkristo kwani kufanya hivyo ni kusaliti ajenda yao. Kadhalika anashangaa mtu wa bara kumpigia kura asiye wa bara (na kinyume chake) na msukuma/mchaga/mnyaturu… kumpigia kura asiye msukuma/mchaga/mnyaturu… Hoja kama hizi zinaweza kufumbiwa masikio na viongozi kwa kuona zinawanufaisha kisiasa, lakini madhara yake huko tuendako ni makubwa na hatari mno. Tukiwachekea hawa walamba viatu tutajikuta tumejitegea bomu kama taifa. Ubaguzi ni ubaguzi, uwe wa kijinsia, kidini au kikabila.
Imagine huyo ni Kiongozi, wananchi je wakoje
 
Sasa si ungeanzishia uzi wake????
 
Hivi huyu mdada uwa anasikilizwa kweli na wananchi?
 
Ila viongozi wa chukuwachakomapema wa sasa sijuwi wanachaguliwa kwa vigezo gani?!
INASIKITISHA SANA SANA!
 
Acheni vijana wakapate maujuzi, Mnavyuo hapa chungu nzima vimewasaidia nini? Acheni tujaribu na vya wenzetu labda baadaye wahitimu watakuja kutufunza namna bora ya kuendesha mafunzo yetu wenyewe. Siyo kila kitu ni kibaya kwa sababu anafanya Samia.

Siipendi CCM na watu wake lakini hili la vijana wetu kupata mafunzo nje nalikubali, kwasababu DMI imekuwepo miaka mingi lakini graduate wake hawaonyeshi taaluma kwenye maeneo yao, acheni tupeleke vijana nje wapate maujuzi.

Samia alipata pesa za wafadhili amepeleka madaktari wa fani tofauti nje kupata mafunzo, wapo waliorudi lakini pia wapo ambao bado wako masomoni, waliorejea wanafanya vizuri kwa vifaa walivyopata.
Kwenye hili mimi naungana na Samia, Hatakama mwanakondoo ameshinda na ashinde tu, lakini acheni vijana wakasome.

Msimpigie kura lakini msifubaze vijana wetu kusoma vyuo ambavyo kila siku graduate wanakuwa na maarifa yale yale tu.

Mimi hata akipeleka vijana kujifunza kupika nje nitamuunga mkono, kila siku tunasomeshana humu humu halafu hatuwezi chochote, acheni siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Mabingwa wa kuhubiri haki sawa duniani ni Marekani. Nenda kaangalie kwenye nafasi za maamuzi wamejaza jinsia ipi.

Marekani anawaingiza chaka.
Hata China walikofanyia Beiging Cofference of Women ukiangalia mkutano wao Mkuu utaona Wanaume ni zaidi ya asilimia 90% na kama ulivosema USA Wanaume kwenye Senate na Congress ni almost asilimia 80% mpaka 90%.
Ila Miafrika inadanganyika ili iharibu familia na maendeleo!
Mwanaume ndo mzalishaji na mjengaji wa maendeleo mengine kelele tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…