Sasa kinachowauma ni nini Mayala kushabikia dubwana lake wakati na nyie mna dubwana lenu mnalishabikia?Hilo dubwana lenu la ccm watu wamelichoka kwa kweli kama wewe unampenda na wasukuma wenzenu ni nyie tu jamani
Ahaaaa. Kwani kuuliza imekuwa nongwa? Mbona hasira zimewajaa?Wewe ni mke au karani wake?
Kama yapi?Hakuna tatizo kuwa Kada wa Chama ,ubaya ni kuwa makada wa CCM hutetea mpaka mambo ya ajabu na yasio wezekana kutetewa.
Hili linaingia vipi hapa? Upuuzi na upumbavu.Hivi yule mke wake Kissa waliomporaga kwa uzembe wake, yuko wapi siku hizi?
Nani atampa u DAS katika serikali ipi? Hii ya Magufuli inaishia 28/10 sasa nani atamteua hiyo nafasi?Umekuwa kada haswa, hakika nyakati hubadilika, this time wakikunyima hata u DAS watapata dhambi, huo uongo wa maziwa na asali nimeusikia zamani sana, nadhani CCM wana tatizo la kufikiri, wamechoka hawawezi hata kufikiria uongo mpya, wanarudia ule ule miaka yote.
Kama yapi?
Niwe na hasira kwani mimi nimekuwa Dr.Bashiru??Ahaaaa. Kwani kuuliza imekuwa nongwa? Mbona hasira zimewajaa?
Naona unanitukana bila kosa! Kwani Chadema mna hali mbaya mpaka muwe na hasira?Niwe na hasira kwani mimi nimekuwa Dr.Bashiru??
Bashiru ndiyo ana hasira hadi anawatisha wapiga kura, nadhani hali ni tete huko CCMNaona unanitukana bila kosa! Kwani Chadema mna hali mbaya mpaka muwe na hasira?
Weka ushahidi wa Pasco kuyaunga mkono hayo?Kama haya .[emoji116][emoji116]
Magufuli ni mbele kwa mbele hadi 2025..Nani atampa u DAS katika serikali ipi? Hii ya Magufuli inaishia 28/10 sasa nani atamteua hiyo nafasi?
Na huyo Mongela aliyepata uRC kwa mbeleko na umaarufu wa mama angejiandaa kwa kazi nyingine kama kufuga kuku au nguruwe maana huo uRC ndio kwaheri tena maana utakuwaje RC wakati umeamua kuwa kada wa chama cha upinzani CCM katika serikali ya Chadema?
CCM inawaona watanzania wapumbavu lakini kuna kamsemo ka kizungu kanasema 'Never underestimate the power of stupid people in large numbers'.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.
Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.
Paskali
Eti miaka 5 ilikuwa ya majaribio (ya kuonja) duuu! hiyo 5 mingine kwa uchumi huu,tutaishi km mashetaniNami nasema, tukimpa mitano tena JPM kuigeuza Tanzania kuwa nchi chungu kuzidi hata shubiri!
Unawashwa kunako.Niwe na hasira kwani mimi nimekuwa Dr.Bashiru??
You are the winner for the Trophy of the Hopeless thread of the day.
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.
Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.
Paskali
MkuuEmb potelea mbali huko mpuuzi wewe! Nilikuwa nakuona una akili kumbe ukabila umekujaa. Jinga zima wewe!