Uchaguzi 2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

Siku unapelekwa Kamati ya Bunge niliwaambia wanaJF, huyu ameitwa na wapuuzi wenzie mpuuzeni, wakanipinga. Leo wanauona wazi uwezo wako wa kujipendekeza ulivyo wa kiwango cha juu ndo wanashtuka. Wanaona uchumia tumbo wako ndo wanagutuka, kumbe? Wanaona ulivyo mkabila wanashangaa allaaaaa!!
Ungekuwa timamu usinheshabikia ukiukaji dhahiri wa kanuni zaaadili ya uchaguzi huku ukijiita Mwanasheria.
 
Umekuwa kada haswa, hakika nyakati hubadilika, this time wakikunyima hata u DAS watapata dhambi, huo uongo wa maziwa na asali nimeusikia zamani sana, nadhani CCM wana tatizo la kufikiri, wamechoka hawawezi hata kufikiria uongo mpya, wanarudia ule ule miaka yote.
Nani atampa u DAS katika serikali ipi? Hii ya Magufuli inaishia 28/10 sasa nani atamteua hiyo nafasi?
Na huyo Mongela aliyepata uRC kwa mbeleko na umaarufu wa mama angejiandaa kwa kazi nyingine kama kufuga kuku au nguruwe maana huo uRC ndio kwaheri tena maana utakuwaje RC wakati umeamua kuwa kada wa chama cha upinzani CCM katika serikali ya Chadema?
 
Magufuli ni mbele kwa mbele hadi 2025..

Lazima mnyooshwe
 
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.

Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.

Paskali

CCM inawaona watanzania wapumbavu lakini kuna kamsemo ka kizungu kanasema 'Never underestimate the power of stupid people in large numbers'.
 
You are the winner for the Trophy of the Hopeless thread of the day.
 
Back
Top Bottom