Uchaguzi 2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

ccm inaharibu Sana bongo za watu,sikutarajia kama leo hii P. Anaandika upupu namna hii
 
Anapigania ugali wake

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
yaani wewe jamaa ni major disappointment! to think I admired you once![emoji2962][emoji2962]
 
Hebu toa upuuzi wako hapa
 
Rubbish!
 
Huyu anatetea cheo chake tu hana uzalendo wowote ule
 
Hata Kama amefsnya mazuri lakini kitendo Cha kutumia Ukabila kuwa walaghai wananchi kimenitia kinyaa kabisa,
Huko usukumani alienda na Kadogosa(Msukuma),kuwa uzia wasukuma na wanyamwezi kwamba,si mnaona najenga SGR,na kadogosa yupo hapa anachapa kazi.
Kagera katumia jina la Masilingi(muhaya)kuwavutia wahaya kwamba mtoto wao yupo ndani ya system kwahiyo tumpe kura.
Huu ni upuuzi unaotumika Kenya,sasa huyu jiwe,kwa vile yupo Desperate anatumia kila mbinu abaki Madarakani,
Huku anasema maendeleo hayana vyama,huku anawaambia wananchi msinichagulie mpinzani nitashindwa kumcontrol,what ana idiot
 
Wenye akili tumekielewa Paschal.

"RC kavunja mwiko....Tume ipo".
 
Hv mnafikiri mkuu P,asipounga juhudi hata kinafiki ataishiji na maisha magumu hv na ishajulikana ukisifu kwa kiwango cha kujitoa ufahamu unakula shavu hv kwel watu Kama kina Hassan ngoma,kimwaga,muro kwel hao vilaza wanamzidi Mayala kiakili na hoja?lkn wamepewa uteuz so tumwache na yeye Mkuu pascal ajaribu bahat uzuri alishadeclare Interest mapema
 
Uko sawa kabisa Mkuu lakini TBC ni kitengo cha maccm hivyo hotuba kama hizi ni mwiba mkali kwa huyo anayejiita KICHAA TBC hawawezi kuthubutu kuziweka pamoja na huyo KICHAA kutamka mara nyingi kwamba “Tumuenzi Baba wa Taifa”

Dah! Mwalimu aliishi kabda ya muda wake. Kipindi kama hiki cha uchaguzi ilitakiwa TBC Taifa waweke hotuba kama hizi kwenye kile kipindi chao cha "Usia wa Baba" kila siku saa mbili na robo usiku
 
Paskal,unaifahamu unayemsemea ?unaifahamu historia ya mongela? Unaifahamu Kwanini lazima amfanyie kampeni JPM?
 
TL hauziki?Nafikiri wewe utakuwa mtazamaji mzuri wa TBCCM na channel ten🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…