Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapigania ugali wake
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo. "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.
Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.
Paskali
yaani wewe jamaa ni major disappointment! to think I admired you once![emoji2962][emoji2962]

Hebu toa upuuzi wako hapa

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwa kuvunja ukimya, kumhusu JPM, asema bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, Tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo.
"Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.

Huyu anatetea cheo chake tu hana uzalendo wowote ule

Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John Mongela, amevunja ukimya wa kumhusu JPM, kwa kuusema ukweli wa moyo wake kuwa bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo.
Mongela amesisitiza na hapa nina mnukuu, "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.

UPUUZI MTUPU!
"sembuse nyie"Anapalilia kibarua chake. Nchi ya maziwa na Asali hata wanaisrael hawakuipata. Sembuse nyie wazinzi ?
Dah! Mwalimu aliishi kabda ya muda wake. Kipindi kama hiki cha uchaguzi ilitakiwa TBC Taifa waweke hotuba kama hizi kwenye kile kipindi chao cha "Usia wa Baba" kila siku saa mbili na robo usiku
Ila nyie anapotezwa, anapigwa marisasiCHADEMA mnakwama wapi ? Mmekuwa wahubiri wazuri sana wa democracy, lakini mtu mmoja akitofautiana na ninyi kimsimamo mnamshambulia
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John Mongela, amevunja ukimya wa kumhusu JPM, kwa kuusema ukweli wa moyo wake kuwa bila Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Tanzania, tusingefika hapa tulipo!, huo ndio ukweli wa mambo.
Mongela amesisitiza na hapa nina mnukuu, "Sisi ni Watanzania, lazima tuwe wazalendo, kwenye mambo ya msingi, hatuwezi kuwa na aibu kusema, tunasemea nchi yetu, tunasemea mustakabali wa kizazi chetu na vizazi vingine vijavyo, wazee waliotangulia walitimiza wajibu wao, na sasa tumepata kiongozi mzalendo mahiri, ambaye amejitoa sadaka kwa ajili ya nchi yetu, tuendelee kumuombea, lakini tarehe 28 October, mimi nikiwa kama kiongozi, niwaombeni tutoke, tukapige kura, ili Mhe Dr. John Pombe Joseph Magufuli, kama miaka mitano ilikuwa hivi, tukimpa tena miaka mitano mingine, itakuwaje?, na walioona kitabu cha ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, na mimi kwa nafasi yangu ndio mratibu na msimamizi mkuu wa utekelezaji wa ilani kwenye mikoa, tunakokwenda ni nchi ya maziwa na asali, tumuombee rais wetu, tumuunge mkono, tukapige kura, ili twende kwenye mafanikio makubwa ya kiuchumi na kijamii!.
Akiunga mkono hoja, mwandishi wa makala hii, alisisitiza, umuhimu wa waandishi wa habari na vyombo vya habari, kutoshabikia vyama wala wagombea, ila amesisitiza, kama tunataka maendeleo ya kweli, then, tunajua ni chama gani kinaweza kutuletea maendeleo ya kweli na sio ahadi, na ni mgombea gani anaweza kutuletea maendeleo ya kweli, hivyo tarehe 28, Watanzania, Tusifanye Makosa!.
Paskali
Amen"sembuse nyie"
Wachawi,
Wanafiki,
Waongo,
Matapeli.
UPUUZI MTUPU!
TL hauziki?Nafikiri wewe utakuwa mtazamaji mzuri wa TBCCM na channel ten🤣🤣🤣Ulitaka aambatane na yule bwana wa risasi kumi na sita kiunoni?
CHADEMA mnakwama wapi ? Mmekuwa wahubiri wazuri sana wa democracy, lakini mtu mmoja akitofautiana na ninyi kimsimamo mnamshambulia
Kwani huyu pascal huwa unamlisha hadi ifikie kipindi umpagie awe na mgombea yupi?
Pambaneni na dubwana lenu lisilouzika,baada ya uchaguzi hilo ubeligiji
Kwa akili alizonazo uyo RC ilikuwa halali kabisa kuchapiwa na kuporwa mkeHivi yule mke wake Kissa waliomporaga kwa uzembe wake, yuko wapi siku hizi?