RC wa Tanga: Kuna vijana 30,000 wako nyumbani wanalelewa na dada na mama zao. Walipoulizwa wamesema hawatafuti ajira

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu.

===========================================

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama au Dada zao bila kuwa na Ajira ambapo kwa Takwimu Rasmi ya Sensa ya mwaka 2022 Vijana hao wanafika Elfu Thelathini.

Batilda ameyasema hayo wakati akizindua Mradi wa Kuweka Mazingira ya Vijana Kuajiriwa na Kujiajiri (GOYN) na Jukwaa la Vijana Wilaya ya Tanga ambapo amesema Tanga kuna wategemezi wengi sana, mtu mmoja anaweza kulisha watu 9 hadi 12, wakati vijana hao wangeweza kujiajiri au kujishughulisha

Amesema Kijana hawezi kuwa Tunu ya Taifa kama Hana Ari ya uthubutu ya kuona anaweza kusaidia Familia yake na jamii ambapo amewataka Vijana hao kuvaa vazi la uthubutu, ili kuleta mchango na Ubunifu katika Taifa

Source:
 
View attachment 3175470

Source:
Mamdogo
 
Back
Top Bottom