kama una nia kusaidia kitu kama barua nzuri uliotuma unaiweka hapa CV muhim futa majina na privacy zako..then upload hapa jf..nwy congr:clap2:sana sana
Duh! mkuu sasa hapo unataka kujua CV yangu au umeamua kunipeleleza kwa njia hiyo? mwe! binadamu bana, acha kwanza niripoti kazini basi. Halafu ndo ntatoa desa, tehe. By the way CV ni mkusanyiko wa vitu vingi, na what matters, ni jinsi gani umeconvince on the Experience. Asante kwa kunipongeza, ila interview pia inamata zaidi, lol + Mungu ndiye mtoaji wa yote, nimebold kwa msisitizo zaidi
kama kweli si useme.... we umetumwa sio bureAsante Mkuu, ila nikusahihishe hatukuwa tukigombania. By the way nikisema nafasi hapa si ina maana ntakuwa nimedisclose identity yangu? Lol, anyways Nashukuru kwa pongezi
Mh..! hapo kweny blue hapo...umejuaje? lol. Haya bana asante, ila mbona ulikaa kimya? wape moyo na wengine, kuna walioanza kuponda kuwa kazi zinazotangazwa humu sio Real
Kweli Kiswahili kigumu. Kama mko watu 7 kwa nafasi moja si kugombabia huko? Au unafikiri kwa ugomvi, hahahaaaaa, jamani...
Ok sorry sikujua,kumbe ni gel..hongera sana! Mie sikukaa kimya...hembu naomba gonga hapa
Da! Mkuu hongera sana umenipa matumaini kuwa kila kitu chawezekana kwa uweza wa Mungu na siku ikifika.
hatugombani tunaelezana ukweli...we ccm nini mbna mambo ya kawaida unazani ugomvi au CUF weweusintafute ugomvi, sio tabia yangu kugombana. ndo maana mie si mtu maarufu, na kama unatafuta umaarufu, usinitumie mie, utaumia
Usijali mkuu, yote shwari, sijadhurika. Na Asante sana, tuendelee kuwaaminisha hawa graduate kuwa kila kitu kinawezekana mtu akiwa na "POSITIVE THINKING".
Nimekupata Mkuu, kumbe Wewe Ulishukuru kwa "BIG THANKS" na invisible akakuona, lol. Hongera
hatugombani tunaelezana ukweli...we ccm nini mbna mambo ya kawaida unazani ugomvi au CUF wewe
wewe ukitaka tudisplay kazi aetu utakimbia mwenyewe, ntafute private kwa maelezo zaidusintafutie BAN, halafu mwenzio nimeokoka. Na by the way, kama hujapata kazi, waweza kuniona nkuunganishe na watu wa Sekretarieti ili siku ukiomba wakushortlisti. Karibu pale Maktaba House, Dar, najua uko Mtwara
Hongera sana kijana sasa hakikisha unasafisha hizo ofisi za mafisadi ili wadogo zetu waje wafaidi nafasi kama hizo.
Hongera sana ,jitahidi nawe uwe unachangia Jf kifedha kwa kazi ngumu wanayoifanya waanzilishi/watendaji wa JF.Wapendwa Sina jinsi ya kuielezea furaha yangu. Nimekuwa member wa JF kwa takriban mwaka sasa. Mie huwa si msomaji wa magazeti, na taarifa nyingi muhmu huzipata kupitia hapa JF. Kwa mara ya kwanza hii forum imenisaidia na nimeyaona matunda yake.
Nimefanikiwa kupata kazi, amabayo kwa mara ya kwanza niliiona hapa JF, katika forum ya "Nafasi za Kazi na Tenda". Mwanzoni sikuamini kama nami naweza pata kazi serikalini bila kuwa na mtu wa kunishika mkono, lakini leo imewezekana. Ni kweli kuna uwazi na ukweli na usawa kupitia Sekretariatiya Ajira na Utumishi. Tuliitwa watu saba na nafasi ilikuwa moja tuu.
Nimepata,
Namshukuru Mungu na WanaJF, Tuendelee kulijenga Taifa letu. Big up JF, LIVE LONGER.
Kwa wengine, Msikate tamaa, endeleeni kuomba kazi bila kuchoka, ipo siku mtafanikiwa, na tusipuuze kazi, na tufanye kazi kwa bidii na kutumia nafasi zetu kwa manufaa ya umma.
Asanteni.