Re: THANKS TO JF

Re: THANKS TO JF

kama una nia kusaidia kitu kama barua nzuri uliotuma unaiweka hapa CV muhim futa majina na privacy zako..then upload hapa jf..nwy congr:clap2:sana sana

Duh! mkuu sasa hapo unataka kujua CV yangu au umeamua kunipeleleza kwa njia hiyo? mwe! binadamu bana, acha kwanza niripoti kazini basi. Halafu ndo ntatoa desa, tehe. By the way CV ni mkusanyiko wa vitu vingi, na what matters, ni jinsi gani umeconvince on the Experience. Asante kwa kunipongeza, ila interview pia inamata zaidi, lol + Mungu ndiye mtoaji wa yote, nimebold kwa msisitizo zaidi
 
ok nimekuelewa ila unakaubishi ka asili ee \?
 
Asante Mkuu, ila nikusahihishe hatukuwa tukigombania. By the way nikisema nafasi hapa si ina maana ntakuwa nimedisclose identity yangu? Lol, anyways Nashukuru kwa pongezi
kama kweli si useme.... we umetumwa sio bure
 
Mh..! hapo kweny blue hapo...umejuaje? lol. Haya bana asante, ila mbona ulikaa kimya? wape moyo na wengine, kuna walioanza kuponda kuwa kazi zinazotangazwa humu sio Real

Ok sorry sikujua,kumbe ni gel..hongera sana! Mie sikukaa kimya...hembu naomba gonga hapa
 
Da! Mkuu hongera sana umenipa matumaini kuwa kila kitu chawezekana kwa uweza wa Mungu na siku ikifika.
 
Kweli Kiswahili kigumu. Kama mko watu 7 kwa nafasi moja si kugombabia huko? Au unafikiri kwa ugomvi, hahahaaaaa, jamani...

Wewe ndo kiswahili kigumu kwako, kugombania ni kitemdo cha neno "ugomvi", walau ungesema kugombea, au kushindania. sifikiri kuwa uko sahihi usemapo kugombania, najua umelitafsiri moja kwa moja kutoka kiinglishini.
 
kama kweli si useme.... we umetumwa sio bure

usintafute ugomvi, sio tabia yangu kugombana. ndo maana mie si mtu maarufu, na kama unatafuta umaarufu, usinitumie mie, utaumia
 
Ok sorry sikujua,kumbe ni gel..hongera sana! Mie sikukaa kimya...hembu naomba gonga hapa

Usijali mkuu, yote shwari, sijadhurika. Na Asante sana, tuendelee kuwaaminisha hawa graduate kuwa kila kitu kinawezekana mtu akiwa na "POSITIVE THINKING".

Nimekupata Mkuu, kumbe Wewe Ulishukuru kwa "BIG THANKS" na invisible akakuona, lol. Hongera
 
Da! Mkuu hongera sana umenipa matumaini kuwa kila kitu chawezekana kwa uweza wa Mungu na siku ikifika.

Ni kweli my dear, watu wengi tuna "NEGATIVE THINKING" mara nyingi ndo maana kufanikiwa kwetu ni kidogo. Mungu ni mwema na hujibu maombi yetu kwa wakati, kila mtu ana wakati na bahati yake.
 
usintafute ugomvi, sio tabia yangu kugombana. ndo maana mie si mtu maarufu, na kama unatafuta umaarufu, usinitumie mie, utaumia
hatugombani tunaelezana ukweli...we ccm nini mbna mambo ya kawaida unazani ugomvi au CUF wewe
 
Usijali mkuu, yote shwari, sijadhurika. Na Asante sana, tuendelee kuwaaminisha hawa graduate kuwa kila kitu kinawezekana mtu akiwa na "POSITIVE THINKING".

Nimekupata Mkuu, kumbe Wewe Ulishukuru kwa "BIG THANKS" na invisible akakuona, lol. Hongera

Hahahaaaa, haya bana,thanks anyway!! Na wewe ubarikiwe sana
 
hatugombani tunaelezana ukweli...we ccm nini mbna mambo ya kawaida unazani ugomvi au CUF wewe

usintafutie BAN, halafu mwenzio nimeokoka. Na by the way, kama hujapata kazi, waweza kuniona nkuunganishe na watu wa Sekretarieti ili siku ukiomba wakushortlisti. Karibu pale Maktaba House, Dar, najua uko Mtwara
 
wewe ukitaka tudisplay kazi aetu utakimbia mwenyewe, ntafute private kwa maelezo zaid
 
Hongera sana kijana sasa hakikisha unasafisha hizo ofisi za mafisadi ili wadogo zetu waje wafaidi nafasi kama hizo.
 
wewe ukitaka tudisplay kazi aetu utakimbia mwenyewe, ntafute private kwa maelezo zaid

Acha zako wewe karunguyeye, kama ndo njia yako ya kutafuta mademu umeambulia patupu. Sepa zako firauni weweee,
 
Hongera sana kijana sasa hakikisha unasafisha hizo ofisi za mafisadi ili wadogo zetu waje wafaidi nafasi kama hizo.

Asante sana mkuu, ntajitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu. Cha Muhimu ni uzalendo na kuridhika, natumaini na wengine watafuata mfano.
 
Wapendwa Sina jinsi ya kuielezea furaha yangu. Nimekuwa member wa JF kwa takriban mwaka sasa. Mie huwa si msomaji wa magazeti, na taarifa nyingi muhmu huzipata kupitia hapa JF. Kwa mara ya kwanza hii forum imenisaidia na nimeyaona matunda yake.

Nimefanikiwa kupata kazi, amabayo kwa mara ya kwanza niliiona hapa JF, katika forum ya "Nafasi za Kazi na Tenda". Mwanzoni sikuamini kama nami naweza pata kazi serikalini bila kuwa na mtu wa kunishika mkono, lakini leo imewezekana. Ni kweli kuna uwazi na ukweli na usawa kupitia Sekretariatiya Ajira na Utumishi. Tuliitwa watu saba na nafasi ilikuwa moja tuu.

Nimepata,

Namshukuru Mungu na WanaJF, Tuendelee kulijenga Taifa letu. Big up JF, LIVE LONGER.

Kwa wengine, Msikate tamaa, endeleeni kuomba kazi bila kuchoka, ipo siku mtafanikiwa, na tusipuuze kazi, na tufanye kazi kwa bidii na kutumia nafasi zetu kwa manufaa ya umma.

Asanteni.
Hongera sana ,jitahidi nawe uwe unachangia Jf kifedha kwa kazi ngumu wanayoifanya waanzilishi/watendaji wa JF.
Mkono mtupu haulambwi.
 
Back
Top Bottom