bombu
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,127
- 542
- Thread starter
- #41
kama una nia kusaidia kitu kama barua nzuri uliotuma unaiweka hapa CV muhim futa majina na privacy zako..then upload hapa jf..nwy congr:clap2:sana sana
Duh! mkuu sasa hapo unataka kujua CV yangu au umeamua kunipeleleza kwa njia hiyo? mwe! binadamu bana, acha kwanza niripoti kazini basi. Halafu ndo ntatoa desa, tehe. By the way CV ni mkusanyiko wa vitu vingi, na what matters, ni jinsi gani umeconvince on the Experience. Asante kwa kunipongeza, ila interview pia inamata zaidi, lol + Mungu ndiye mtoaji wa yote, nimebold kwa msisitizo zaidi