secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Hii ni bei ya kununuliaKuna siku niliwapigia simu wale jamaa wa Victoria Apartments kuhusu Ghorofa Lao [emoji3][emoji3][emoji2] Duuh eti single bedroom inagharimu 250 Millions [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
China plaza iko pembeni kule karibu na karume na ..imekaa kwa aina flan ya biashara tuu ..sogea k.koo katkati uone balaa lake ...usikaririHio China Plaza si iko Kariakoo? Mbona kuna thread ililetwa humu Kariakoo watu wako tayari kutoa 30m(nje ya Kodi) kupata fremu?!!
Hizi alama ?? hazina maana kwako?China plaza iko pembeni kule karibu na karume na ..imekaa kwa aina flan ya biashara tuu ..sogea k.koo katkati uone balaa lake ...usikariri
Namshangaa alivyo mjinga afu anaandika kishabiki.Fremu hazikuwa nyingi kupita mahitaji, mbona miaka ya nyuma zilikuwa bei juu na zinagombewa? Sema biashara nyingi zimekufa...
Mh Mbezi beach hio ni kodi ya nyumba ya kawaida sana. Nina mtu wangu kahangaika sana kupata angalau two bedroom kwa 350,000/- kakosa kaishia Mbezi upande wa juu.
Mpate kumtia hasara zaidi za matengenezo, maana kodi mnayolipa haitoshi, gharama za matengenezo ziko pale pale. Bahati mbaya wanyonge hawana busara ya utunzaji, ni uharibifu tu.Chakustaajabisha ni pale jengo linakaa bure mmiliki hataki kushusha kodi na anaona ni bora likae tupu hata miaka kumi ilipaswa kwa wakati huu sisi wanyonge tukalie haya maghorofa
Dodoma hapajakucha kiivo , tungeona malls dodoma kuonyesha kuwa zimekuwa replaced na hizi za dar.Shughuli za kiserikali zimehamia Dodoma. Sasa hivi Dodoma pamekucha
Mkuu hii biashara imeanguka ghafla bin vuu, kuna watu walitia pesa nyingi wakidhani mambo yatakuwa kama yalivyokuwa , walipomaliza majengo ndo wanakutana na huu mdororo, naukute ilikuwa ni pesa ya benki ndo balaaChakustaajabisha ni pale jengo linakaa bure mmiliki hataki kushusha kodi na anaona ni bora likae tupu hata miaka kumi ilipaswa kwa wakati huu sisi wanyonge tukalie haya maghorofa
Ni chini tu, ukishafika ghorofa ya kwanza wabongo hawajiHio China Plaza si iko Kariakoo? Mbona kuna thread ililetwa humu Kariakoo watu wako tayari kutoa 30m(nje ya Kodi) kupata fremu?!!