pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Hakyanani hii ni ile wewe nenda tu ila cha moto umekipata...nina mengi yakuongea ila kiufupi kwa leo tujiandae kwa msimu ujao,msimu huu sion kitu kwa kikosi hiki chenye uzembe ambao kocha anaufungia macho,timu nzima anayekerwa na perfomance mbaya ni ronaldo peke yake...ile aibu nliyokuwa naizungumzia inakaribia,hawa watoto wameonyesha njia jinsi gan inakuja hiyo aibu...
Hapa madrid kutoka ni ngumu sana, mtaji wa goli 2 si haba.
gem imeishaje wakuu??
gem imeishaje wakuu??