Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hakyanani hii ni ile wewe nenda tu ila cha moto umekipata...nina mengi yakuongea ila kiufupi kwa leo tujiandae kwa msimu ujao,msimu huu sion kitu kwa kikosi hiki chenye uzembe ambao kocha anaufungia macho,timu nzima anayekerwa na perfomance mbaya ni ronaldo peke yake...ile aibu nliyokuwa naizungumzia inakaribia,hawa watoto wameonyesha njia jinsi gan inakuja hiyo aibu...
 
Hakyanani hii ni ile wewe nenda tu ila cha moto umekipata...nina mengi yakuongea ila kiufupi kwa leo tujiandae kwa msimu ujao,msimu huu sion kitu kwa kikosi hiki chenye uzembe ambao kocha anaufungia macho,timu nzima anayekerwa na perfomance mbaya ni ronaldo peke yake...ile aibu nliyokuwa naizungumzia inakaribia,hawa watoto wameonyesha njia jinsi gan inakuja hiyo aibu...

Mkuu hiyo aibu haiwezi kutukumba. Modric naona kapona na kiwango chake, i hope ramos naye itakuwa hivyohivyo, so sitegemei blunder za ajabu kufungwa goli za ajabu.

Kitu kinachonitia hofu ni perfomance za hawa watu wawili, bale na isco. Sanasana bale, if anceloti is such inteligent, next matches kuelekea el-classico bale atokee benchi iscoachukue nafasi yake, Lucas silva aanze game. Kwa namna hii naona balance itakuwepo wakati tukimsubiria james apone airudishie timu equilibrium.
 
Naenda kulala, sitaki hata kuangalia press conference ya Ancelotti, hana jipya la kuongea
 
muda wa ancelotti kuondoka upo karibu...amechukua kombe sawa..lakini kadestabilize team kwa kuondoa majembe na kuleta watoto laini..team aliochukulia club bingwa ilijengwa na mou yeye kaja kuiharibu sasa atajuta..enzi za mou casillas mzee alikuwa bench
 

Yesterday

9488_900243020028583_6784685105243262822_n.jpg
 

Ancelotti: "We played badly. We need to improve, that much is clear. Its simple. We failed collectively. What the fans did is normal."


"We're the first to admit we played badly. I'm still confident in my players. The team did everything they could to win."


"This team has won everything that can be won. Playing like this we know we won't go very far."


"The whistles from fans are totally deserved. This is going to motivate us more, for the next game."


"It was above all mistakes in defence, we did not have good organisation."


"At halftime we talked about how to fix the defensive aspect. No team have scored 4 goals against us at the Bernabeu."


"We lacked confidence and also physically we have come down a bit."


" I do not think about [sacking]. I keep doing my work, trying to do it better. I need to do better."


"We have had problems, in all aspects of the game, attack and defence, fight, concentration, motivation. It was pretty clear."


"We suffered a lot until the final minute, right until the end. The game did not go as we wanted. Anything could have happened."


"Its incomprehensible the way in which we play right now to the way we were in December."


"I have full confidence in these players, in all of them. The key to fix this problem is the players themselves, the coach too."


Ancelotti: "The team hasn't been ridiculous. WE are professionals. We played badly, understand that & will now try to honour this shirt."


"In football things change very fast. No one could've thought we'd be like this after after December."


"The presence of Modric gives us effective possession of the ball. We cannot ask him tp play every game. He has to go slowly."


"Ramos will help us with his character once he's back."


"Can we win at the Camp Nou? Everything can change very fast in football."



11045329_966520643372696_8426771290318494499_n.jpg
 
Back
Top Bottom