Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


Our starting XI against Barcelona!

 
Last edited by a moderator:
hata ulaya kuna marefarii vilaza.refa alikuwa hana sabab ya kukatas goli la bale.leo barca tumewashika lazma wapakatwe kwao hapo.
 
Hata wachambuzi wameliongelea hilo c.ronaldo alikua offside laitan mpira ronaldo hajaugusa basi goli refa angalilikubali
 
Ngoja tuone mwisho itakuwaje ila karata iko kwetu, zaidi tumalize mchezo mapema
 
ama kweli benzema ni man of elclassico. Leo ananifanyia kazi nzuri sana uwanjani. hapana hata elclasico moja huyu bwana alikuwa faded.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…