Kama wengi tuluvyotegemea ndivyo ilivyotokea...madrid tumejitahid haswa kipindi cha kwanza,ronaldo kapokewa nou camp kama ilivyopangwa ila kawapa maumivu ya moyo...benzema na ronaldo leo perfomance yao ilikuwa nzuri sana,modric na isco kama kawaida...sijaona hekima ya carlo kuwatoa isco na modric kuwaingiza silva wakati pale ilitakiwa tulazimishe matokeo ya sare angalau...kwa hiyo kwa pale timu kaiua carlo dakika za mwisho,babu cassilas naona hata mdomo siku hizi umezeeka hawez kuwapanga mabeki tena mwishowe kinachotokea anafungwa magoli ambayo yanaakisi yeye ni mzembe...sijakata tamaa ila tuelekeze nguvu UCL...barca wamestahili kushinda..hala madrid