Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #3,901
Huyu jamaa bana kaishiwa kabisa. Alibahatika kuwa na ile golden generation ya barca + El Guaje + Torres + Madrid, aka-copy na ku-paste alichokuwa anafanya Pep, akaishika dunia, akalemaa.
Game ilirudiwa saa sita mchana, so nimeicheki. Aibu tupu Spain, Morata kageuzwa kwa 'ala Zidane' na number 3 ya Netherlands karibu game kuisha hadi aibu. Jamaa wameshinda comfortablyUngeona game waliocheza jana, manaake ile formation kama nilikuwa naiangalia Real Madrid ile inayoumiza kichwa, wanacheza mpira saa zote wanaingia mpaka ndani ya 18 bado wanapeana pasi hazina hata akili. Sasa hivi Del Bosque anamtegemea Morata, ndio silaha yake, dogo anacheza vizuri lakini kumpa majukumu ya taifa bado sana. Waholanzi wanadefend timu nzima, hawaachii gape na hawajafanya hata mistake moja. Wa-espñol enzi yao imekwisha.
Game ilirudiwa saa sita mchana, so nimeicheki. Aibu tupu Spain, Morata kageuzwa kwa 'ala Zidane' na number 3 ya Netherlands karibu game kuisha hadi aibu. Jamaa wameshinda comfortably
hapa ndo watu kama Pep wanawazidi wenzao, akishaona kafika mwisho, anasepa kulinda heshima yake.Yule coach wa Netherlands kaonyesha jinsi gani anajua kubadilika. Tangu Van Gaal ameondoka, timu imecheza mechi kadhaa akaona matokeo ya kusuasua, akaondoa majina makubwa yote akaongeza defenders. Waespañol wamezunguka hawaoni wapige wapi. Del Bosque asubiri aibu tu kama ile ya Brazil.
Ah wapi, nimeona taarifa kwenye twitter account ya club kwamba P3pe kabomoka. Fifa virus is a real puta.International break is over and all of our players are fine. It is going to be the first time since 1 year that no one is injured from our squad.‪ #‎HalaMadrid‬‪#‎KeepBelieving‬
Ah wapi, nimeona taarifa kwenye twitter account ya club kwamba P3pe kabomoka. Fifa virus is a real puta.