Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread


87202116f71964f4f55076afb265af39
 
MatchDay | James is he La Liga newcomer with most assists (9). Kroos trails behind him with six.
 
Benzema has now scored 20+ goals for the 5th consecutive season at Real Madrid and is still being blamed for not being a goalscorer.
- Everyone considers Benzema as a player with quality and can facilitate a game, but not as a goalscorer eventhough he averages 22 goals/season.


 
I don't know,lakini we're lucky enough to have both of them in our team. Wote wanaweza kupokea pass vizuri and dance past defender, and create a nice chance to the BBC. Kitu kingine ni kwamba wote wanaweza kufunga magoli. Tatizo la Isco ni moja, he lays the ball too much and the team needs more than heroic dribbles, hapo ndio utaona umuhimu wa James mbele ya Isco, ingawa atumii explosive energybut he feeds the BBC efficiently with his key passes.
True that, but tusisahau kwamba Carlo tends to give James more freedom to go forward than he does Isco. Na Isco ana uwezo mkubwa wa ku-control, kumiliki, kuichezesha timu zaidi ya James, so anaipa timu stability and control of the game. But, like i said earlier, time will tell.
 
Game time. Nimejikaza sana kufika hapa nikiwa macho. Wakizingua tu, nalala. Vamonos blancos!
 
Hizi dakika 10 za mwanzo hazinipi moyo kabisa wa kuendelea kunywa mají na kung'atwa na m'mbu
 
Siamini kama naloweka miguu kwa mpira huu, hii timu itakuja kuniua.
 
Hii winga ya kulia ya Vallecano inamkimbiza Carvajaal balaa.
 
Wazee tumeshikwa, Si utani. Niko mwenyewe ila naona aibu watoto wanavyotumiliki.
 
Wazee tumeshikwa, Si utani. Niko mwenyewe ila naona aibu watoto wanavyotumiliki.

hawa madogo kuna mda wanacheza kama Barca, wamekosa watu wa kukimbiza mpira kama Grizieman wa Atletico au Hazard. Pia wangekuwa na mtu kama Mandzukic, mda huu tayari mngekuwa mshalia.
 
hahahahahahahahahahaha!!!!!

Hehe we jamaa huwa unashangilia timu yako saa ngapi? Mmeshinda ila uko huku kwetu kutucheka, smh. Niliwahi kuskia barca mnapenda sisi kufungwa kuliko hata nyie kushinda, naanza kuamini
 
Bale + James ndani ya jezi za Madrid uwanjani, ni sawa na mchezaji mmoja na nusu. Sijui kwanini Carlo haioni hii
 
Back
Top Bottom