Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bale + James ndani ya jezi za Madrid uwanjani, ni sawa na mchezaji mmoja na nusu. Sijui kwanini Carlo haioni hii
Acha tu, na usingizi umekata kwa hasira. Carlo ni thick minded bila ubishi, jamaa huwa hajifunzi kabisaBale, Marcelo, wanaizingua timu. Bale anatoa pasi ambazo hazina kichwa wala miguu. Marcelo naye anapoteza mpira balaa. Thanks to Iker tungekuwa tunaongea mingine sasa hivi. Poor first half indeed..!
Wazee tumeshikwa, Si utani. Niko mwenyewe ila naona aibu watoto wanavyotumiliki.
Hapo ndio unamuhitaji Isco, kwanini tusicheze 4-4-2, Bale abaki home kwake na mwanae Sofia?Casillas, Ramos na Varane ndio waliofanya mpaka half time iwe bila bila, midfielder zimekamatwa kisawasawa.
Hapo ndio unamuhitaji Isco, kwanini tusicheze 4-4-2, Bale abaki home kwake na mwanae Sofia?
And refaree is crazy, na haya makelele na hizi booing, if Real Madrid panic now, tunapigwa
Ronaldo unastahili kadi, huwezi kuomba Penalty kizembe vile. Hata Simon Msuva wa Yanga hawezi fanya vile.
Stop hating so much, kila mtu kaona pale, sasa Ronaldo kaomba pelnaty kivipi pale?
kama hajaomba tuta, alikuwa analalamika nini, na kwanini apewe kadi?
We uangalii mpira, upo kubishana JF tu, ndio hata nikukuuliza sababu ya ile card hujui.
unayejua mpira niambie ile kadi ni ya nini?
Aaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!!!
Refa ametoa kadi akiwa mbali, kwa mtazamo wake Ronaldo ali-dive. Ndio maana imerudiwa mara tatu kuonyesha kama kilichojiri pale. Refaree ni binadamu kwenye soka ile inatokea mara nyingi tu. kukosea ni kawaida, wewe unatakiwa uwe shabiki wa sports , achana na hayo mambo, otherwise kashabikie Simba na Yanga kule ndio kuna mpira wa ubishani hata kama vitu vipo clear kabisa.