TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Luis Suarez: "I do not understand why they whistle Casillas in his own stadium. With what he was won with Real Madrid, that they whistle in that way…before whistling you have to think."
They are just morons and mourinho's minions.
Mkataba wake unaisha 2017 kama sikosei, he has been with the club all his carrier lakini watu wanasahau haraka sana. Juzi kawa-prove wrong wote wanaomzomea, manaake zile saves ndio zilitufanya tuchukue 3 points.
Hii ni kama wabongo tunavyomshambulia Diamond wakati ni kijana wetu na anatuwakilisha vizuri nje ya bongo. Acha tu aende msimu ukiisha, Martin asije akakua akakuta wanamchukia m-dingi wake wakati kajitolea kila kitu kwa ajili ya club.
Muache akale pension sasa hivi, mwenyewe anataka kuamia Marekani manaake maisha ya Ciudad de Madrid gozi gozi pale.
Ila sipatii picha siku anaondoka, Jamaa maisha yote kaishi in white. Na issue nyingine, Sarah ataacha kazi kumfata Marekani?
Ndio maana hataki kucheza timu yoyote hapa Ulaya, na akihamia marekani Sara Carbonero anakula shavu moja kwa moja, anakuwa representer of Telecinco in USA. Hata hivyo washapiga bingo za kutosha za kuzeekea kwenye fukwe za Carribean na fabolous life, siyo stress za Ulaya tena.
Marca wana-report kuwa CR7 kashinda rufaa yake ya allegedly dive game ya juzi. Kesho yupo uwanjani a3ndelee kutupia kama kawaida yake,
Hala Madrid