Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,761
Huyu dogo angekuwa chini ya Pep au Coach yoyote wa maana tungekuwa tunagombania kutoa 100m € kumsajili.
Ngoja tumsepeshe Carlo kwanza halafu ndio tufikirie nani afateTusubiri next seaso sijui nani anakuja, naona magazeti na mitandao leo wameanza kumpigia promo Lopetegui.
Ngoja tumsepeshe Carlo kwanza halafu ndio tufikirie nani afate
Anajipa moyo tu, yule anasepa, labda abebe ndoo zote mbele yetuLakini sijui inakuwaje, Carlo leo kagusia next season au maongezi tu?
Anajipa moyo tu, yule anasepa, labda abebe ndoo zote mbele yetu
Pepe ana uzoefu kuliko Varane, patnership yake na Ramos imekaa muda mrefu pia, na Varane alikuwa majeruhi kipindi flani hapo kati, so wanachukua tahadhari.Naomba kuuliza maana Mimi sio mtaalamu kidogo wa kiufundi,kwanini verane anakaa bench kwa pepe.yaani ili acheze ni mpaka pepe au Ramos asiwe fit
Kesho Los Che wanaweza kuturudisha kileleni, fingers crossed.