Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #4,761
Huyu dogo angekuwa chini ya Pep au Coach yoyote wa maana tungekuwa tunagombania kutoa 100m € kumsajili.
Tusubiri next seaso sijui nani anakuja, naona magazeti na mitandao leo wameanza kumpigia promo Lopetegui.
