Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
- #4,801
Wale watakuja kupigilia msumari wa mwisho tu.
Unasemaje kuhusu Malaga leo? Mechi ya first round tuliwafunga basi tu, mi mwenyewe nilikuwa naomba mpira uishe. Halafu tuna mechi nyingine na Sevilla yaani we acha tu.