TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Sio kumwamini, ni kukariri tu.Carlo anamuamini sana Alberoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kumwamini, ni kukariri tu.Carlo anamuamini sana Alberoa.
Sio kumwamini, ni kukariri tu.
Yaani Arbeloa badala ya kukaba anakimbia, SMH.
Awful defending, tunaweza kutoa droo
Isco yuko frustrated and disappointed, anajua hata acheze vipi atakaa bench tu watu wote wakiwa fit. James anaelekea kwenye kiwango kile cha Porto na World CupGame na valencia tunashinda.! hahahaaa..!
So far unakionaje kiwango cha isco compared to James.?
Huyu ndugu yake Diamond golini kwa Malaga kwa kupenda sifa sasa
Ile nutmeg ya Cristiano lazima itakuwa youtube in half an hour.
Isco yuko frustrated and disappointed, anajua hata acheze vipi atakaa bench tu watu wote wakiwa fit. James anaelekea kwenye kiwango kile cha Porto na World Cup
rekebisha maneno yako mkuu ulijuaje kua mii dogo na sio kubishana nemekujibu kutokana na maneno yako uliosemaDogo unatafuta watu wa kubishana nao? Nenda jukwaa la siasa.