Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #4,801
Wale watakuja kupigilia msumari wa mwisho tu.
Hawa Malaga mi hawanitishi, it's a matter of how many we are going to score, and how harder it will be. Ila tunashinda.Unasemaje kuhusu Malaga leo? Mechi ya first round tuliwafunga basi tu, mi mwenyewe nilikuwa naomba mpira uishe. Halafu tuna mechi nyingine na Sevilla yaani we acha tu.
Hawa Malaga mi hawanitishi, it's a matter of how many we are going to score, and how harder it will be. Ila tunashinda.
Sevilla na Valencia ndio tumbo joto, bota hata tucheze na Barca badala ya hao watu.
Barca wana timu ya kawaida saivi, ile front 3 yao tu ndio imewazidi wale wanariadha wetu + Benzo mpira, ila viungo na defence wanatusubiri, hata hater wetu mkubwa Mr Cruyff anakiri hilo. Halafu na hiyo ban ya kusajili waliyopigwa watasanda tuSawasawa, beki zenyewe za Barca stoper Gerard Pique, si umeona alivyotoa penalty leo. Halafu game zote za Barca mi huwa na confidence kabisa, lakini Valencea wakicheza na Real unakuwaga mziki mnene si mchezo, na vile kila mtu ashamsoma Ancelotti we subiri tu.
Barca wana timu ya kawaida saivi, ile front 3 yao tu ndio imewazidi wale wanariadha wetu + Benzo mpira, ila viungo na defence wanatusubiri, hata hater wetu mkubwa Mr Cruyff anakiri hilo. Halafu na hiyo ban ya kusajili waliyopigwa watasanda tu
Si wanajifanya jeuri, ila tuna kina Asensio pia, Denis akirudi we can manage. Shida ni coach tu, Carlolina anazingua na hawa wanariadha wake.Ban yao inaisha next january, ila tusiombe sisi tupigwe ban na forward yetu ile, maana FIFA bado wanafanya uchunguzi. Mi nasikia wanasaini madefender tu, hivi kweli hawajui tunataka nini pale mbele?
Si wanajifanya jeuri, ila tuna kina Asensio pia, Denis akirudi we can manage. Shida ni coach tu, Carlolina anazingua na hawa wanariadha wake.
Binafsi naombea ban, tutulie angalau, kila msimu kubadilisha timu sio issue. Tuna potentially the best team duniani kwa sasa, hatuja-deliver tu.
Acha aongee, haijui Madrid. Watu waliwahi kuleta vikombe mpaka Champs League na wakatimuliwa.Ujamsikia Carlo anasema next season atakuwepo.