TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Mtu kapigwa ala-Redondo akazima fegi, kumbe Cristiano bado kabakiza some tricks
Guaranteed.Ile nutmeg ya Cristiano lazima itakuwa youtube in half an hour.
Hizi off-sides leo utafikiri tuna-pay homage kwa Pipita
lakini barca walipocheza na psg hakuna goli lililofungwa kwa offside6 players off-side, ni kama Barca walivokuwa wanawafanyia PSG
Ile nutmeg ya Cristiano lazima itakuwa youtube in half an hour.
na hilo goli ni offside naona refa anakubebeni
lakini barca walipocheza na psg hakuna goli lililofungwa kwa offside
Huyu Carlo hakawii kutupangia Arbeloa full-back wa kushoto on wednesday, sio mzima huyu jamaa
Malaga wakitulia watatupiga bao.
Ndio maana aké. Huyu Modric i hope hajaumia, wasije wakasingizia injury yake ndio sababu ya kufungwa j5.