TUPACified
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 1,367
- 604
Hahaha ana hasira nae vibaya, mwanzo tulibishana nae sana akimtetea.Huyu Cassim ana hasira na Ancelotti, let's focus on the wednesday derby kwanza. Carlo anamaliza, bora amalize vyema atengeneze japo CV huko anakukwenda.
Hahaha ana hasira nae vibaya, mwanzo tulibishana nae sana akimtetea.
C.V anayo ya kumfanya awe lulu ulaya, ila Madrid ni Madrid. Jamaa lazima aondoke, akiongeza mkataba na nifungiwe moja kwa moja kuingia JF.
Si ndio hapo. Real Madrid hata kwenye auto-pilot tunabeba ndoo tu.Kitendo cha kupoteza mechi mfululizo ndio kitamuondoa Carlo, anauhusiano mzuri na wachezaji, lakini Spanish football imemshinda. Kufundisha Real Madrid unatakiwa kutumia akili sana kwasababu always tuna timu nzuri, na hii inasababisha kuwa na rivals all over Europe. Kuanzia mwanzo wa season mpaka mwisho ni challange tu, ndio maana kina Pellegrini waliondoka kabla ya kumaliza mikataba.
Hahaha ana hasira nae vibaya, mwanzo tulibishana nae sana akimtetea.
C.V anayo ya kumfanya awe lulu ulaya, ila Madrid ni Madrid. Jamaa lazima aondoke, akiongeza mkataba na nifungiwe moja kwa moja kuingia JF.
Carlo yupo na msimu ujao. Wait and see.
Tall sahau Khedira na Illara wote wanatakiwa wakae jukwaani kabisa kule washangilie tu, hawafai kwenye kiungo wataua timu wale.
Ancelotti angekuwa jinsi ya kuwamaliza Atleti nyuma angewasimamisha Ramos na Varane halafu Pepe angecheza defensive midfielder pale kati, kwahiyo Kroos angebadilisha position akawa anashambulia hapa na pale.
Mimi first IX yangu ya jumatano hii hapa:
Casillas - Carvajal, Ramos, Varane, Coentrao - Pepe, Kroos, James, Isco - Cristiano, Benzema.
Yaani hiyo 4-4-2 ni bonge la surprise kwa simeoni.
Madevu benzema naye hatokuwepo....daaah,
Hii balaa
Jumatano ni Shangwe tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
Nilipendekeza hii kitu pia, except mi niliwaongeza viungo kweli badala ya fullbacks kwenye kiungo. Tukicheza hivi Atleti watakuwa wanaomba mpira uishe
Marca | There exists the possibility of playing Varane, Pepe and Ramos at the same time on the pitch.
Nilipendekeza hii kitu pia, except mi niliwaongeza viungo kweli badala ya fullbacks kwenye kiungo. Tukicheza hivi Atleti watakuwa wanaomba mpira uishe