Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Hahaha, Jamaa unaisubiria j5 kuliko hata unavyoisubiria kesho. We utakuwa unaipenda hii timu ila unazuga, si bure. Mi thread ya barca hata kuchungulia sijawahi, wala siwezi kwenda kwenye thread ya timu ingine yoyote kama sina kizuri cha kusema.

-Ni wewe ila sio mimi.
-Kabla ya Chelsea na PSG msimu uliopita nilibamia jukwaa lao na nikapiga sana kelele ila ndo hivyo PSG akatoka.
-Msimu huu sijapenda kuwachafulia ijapokuwa nimefurahi sana wao kutoka.
-Jumatano nakausha koo kwa kushabikia Atletico.
 
Haha nimekusoma. Jiachie kwa nafasi
 
Hiyo 4-4-2 ni vile vile nilivyosema jana, yaani hiyo ni nusu uwanja, Atleti wataokoa mpaka vichwa vitawauma itabidi waachie tu.Sema hapo mbele ningependa aanze Chacharito kwasababu anataka kuwaonyesha watu bado yumo, itasaidia timu sana.
Pepe kwa game hii si wazo zuri, he's a hot-head na Atleti wanajua kuchokonoa. Pia sio mzuri na mpira, nakumbuka Klopp aliwahi kusema, 'ukitaka kuizuia Madrid (ya msimu uliopita) unatembea na robot Xabi, halafu unamuacha Pepe free ndio awe anaomba kuanzisha mipira, coz atabutua mbele tu'.
 
Mechi za derby Morinho alikuwa anamchezesha Pepe midfielder, alafu tulikuwa tunawafunga tukiwa na kina Callejon. Yaani nikikumbuka, kucheza na Atleti was like just a walk in the park, lakini sasa hivi sijui wanatusumbua nini!
 
Carlolina mzushi. Pepe alikuwa anachezeshwa kiungo pia NT, wakati Bruno Alves na Carvalho ndio walikuwa wanacheza kama Defensive patners. Pepe as a DM is much of a destroyer more than anything else, and there's nothing about Atleti's play to destroy.
 
Kila nikiusoma mchezo naona Atleti watategemea sana magoli ya mpira wa kusimama (adhabu ndogo na kona), au wakipata mpira watakuwa wanapiga pasi kubwa, krosi na kesho Torre anaanza na yule ana mabao ya kuvizia wamuangalie sana, anatumia uzoefu.
 
Keshokutwa mkuu, mbona una haraka?
We tulia mkuu, tulia kama unanyolewa vileeeeee!!!!!!!
 
Ngoma inapigwa Bernabéu mkuu, kama ungeshawahi kuingia siku moja pale wala usingeongea mambo usiyoyajua, huyo Pique wako mwenyewe ashakubali mara kibao, akicheza pale huwa anapata kiwewe.
 
Mbona washakupiga mbili bila pale na wakaja kutoa droo.
 
20 minutes ago marca has posted this news . It's good news. There is some hope for Modric. May be he will be back soon.
11159548_1088983417784884_7114030710840174917_n.jpg
 
Mbona washakupiga mbili bila pale na wakaja kutoa droo.

Andika Atleti out of UCL, na wewe ukimwona mwenzio ananyolewa tia maji ukae foleni. Mi nakuona unacheza ngoma sio yako wakati na wewe kipigo kinakusubiri. Mwaka huu kwenye champions tunapiga antimadridista wote ndio mtapendana vizuri.
 
-Hivi Mkuu Without Modric na Marcelo unadhani utapita kirahisi.
-Beki za Atletico huenda zizisumbuke sana J5, na usije ukashangaa Jamaa wakatawala ktk hiyo Game!!!!
 
Tutaongea hapa mpaka asubuhi halafu isisaidie chochote, tusubiri dakika 90 za Bernabéu. Mi nipo humu mpaka jumatano usiku.
 
Luka Modric: "There's no other choice. I'm not giving up on this season yet. I had some fantastic times from August to November. Then there was a break, then another long injury and now another. There's no reason not to believe I can have a good end to the season."
 
Soy Madridista | Carlo Ancelotti could call up the Juvenil A Striker Borja Mayoral for the upcoming UCL game against Atlético. He just turned 18 few days ago.

His Stats This season:

League : 30 Games | 35 Goals

UEFA Youth League : 7 Games | 7 Goals

- He also trained with the squad yesterday.

18630_989110441113716_3612687423202045663_n.jpg
 
Manuel Jabois (journalist): "Cristiano has motivated Fabio. Cristiano has been a leader this week. He said that the team needs him on Wednesday."

11109302_989117394446354_8611671828177946123_n.jpg
 
Back
Top Bottom