Hahaha, Jamaa unaisubiria j5 kuliko hata unavyoisubiria kesho. We utakuwa unaipenda hii timu ila unazuga, si bure. Mi thread ya barca hata kuchungulia sijawahi, wala siwezi kwenda kwenye thread ya timu ingine yoyote kama sina kizuri cha kusema.
-Ni wewe ila sio mimi.
-Kabla ya Chelsea na PSG msimu uliopita nilibamia jukwaa lao na nikapiga sana kelele ila ndo hivyo PSG akatoka.
-Msimu huu sijapenda kuwachafulia ijapokuwa nimefurahi sana wao kutoka.
-Jumatano nakausha koo kwa kushabikia Atletico.